Hii ndiyo orodha ya maamuzi ya ovyo kuwahi kufanyika Tanzania

Kuhuhu dodoma kama ishu ni maji tu basi umepuyanga maji yanaweza kuvutwa kutoka popote
 
Namba 6 naunga mkono, Muungano wa Tanzania na Zanzibar ilitakiwa uwe kama wa USA. Kiongozi mkuu ni mmoja tuu
 
Changamoto gani nyingine, baada ya miaka mia unafikiri dodoma itakua kama unavyoiona leo?
Umesoma na kuelewa no. 7?

Issue kwa Dodoma ni gharama tutakazoingia katika kuifanya ipendeze. Endapo sehemu nyingine ingekuwa ndo makao makuu ya nchi hasa mikoa yenye mvua za kutosha na mazingira mazuri yanayopendeza gharama za kupapendezesha zingekuwa ndogo sana
 
Ni commitment tu . Sasa Dodoma pasingekua makao makuu si pangeendelea kua nyuma miaka yote.
 
Alaumiwe na kulaaniwa nyerere
 
Maeneo ya jangwa yana gharama kuyaendeleza. Mfano tunaona namna Misri, Qatar na UAE wanavyoingia gharama
Ndio maana nikasema ni bora ilivyokua makao makuu walau tuna sababu ya msingi kupaendeleza, Vinginevyo aloo pangekua pa kishenzi sana
 
Kosa lingine ilikuwa kuruhusu katiba kama hii
 
😅😅😅😅Mbona umenyoka naye sana
 
Wapi kwenye uzi wangu nimemtaja Nyerere?

Mbona kama una hasira sana?
 
Thubutu, sio kwa terms hizi.
Hakuna terms zinazotumaliza pale. Ni maneno ya wanasiasa tu maana hiki ni kipindi cha siasa. Mwaka kesho uchaguzi serikali za mitaa then mwaka 2025 ni uchaguzi mkuu hivyo kelele unazozisikia ni maandalizi ya kisiasa tu
 
Wapi kwenye uzi wangu nimemtaja Nyerere?

Mbona kama una hasira sana?
Azimio la Arusha alileta nani? Kiswahili kuwa lugha ya taifa?

Hujiamini, tetea hoja zako mfu wacha kuhamisha magoli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…