Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Cha muhimu ulishalipwa chako, acha lawama kwa kijana wa watu. Tatizo ulikuwa na expectations kubwa hawa kwenye suala la kuvuna.
 
Ila story yako imenikumbusha hek Una hoja,usipuuzwe
 
Hivi kumbe Zina tofauti eeeh?
Aaah nishaelewa, Basi POA.

Napendaga ta ta ta...Kisha pwa pwa pwa.[emoji38]
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Dadeq hii noma itakua ndio figo76 ipo hivyo ignition unaanza na ta ta ta afu ikishakolea Moto baada ya kukanyaga mafuta ni pwa pwa pwa duuh balaaa
 
Hii nchi wastaarabu wapo wachache sana.

Watu wamekaa kiujanja ujanja tu; kuwa makini na watu wa nchi hii, anaweza kuwa na muonekano wa kistaarabu lakini ndani ni primitive kabisa.
 
Ha ha ha....umekumbuka wapi mamii[emoji4]
Kuna dada amechati na mtu online kumbe ni mbaba Yuko Njombe,akamtumia nauli,bibie kasafiri mpaka Njombe,kufika yule mbaba kampokea kaenda nae gesti,kachuma fimbo kamcharazaaa kamwambia mtoto mdogo unapata wapi ujasiri wa kuvuka mikoa mitatu kumfuata mtu usiemjua,kamwambia nyie ndio mnaosumbua wazazi wenu,akamlipia chumba,asubuhi kaenda mkurupua kampandisha Njombe express hajampa hata mia......source ya hii taarifa ni hekaheka za Dida wasafi Fm walimuhoji huyo bidadaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Ila mi nilihisi dada alikuwa mbovu sivyo alivyotuma picha za Snapchat jamaa akamind
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…