Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Hii ndiyo sababu inayonifanya nisikutane na mwanaume hasa wa mkoani

Cha muhimu ulishalipwa chako, acha lawama kwa kijana wa watu. Tatizo ulikuwa na expectations kubwa hawa kwenye suala la kuvuna.
 
Ila story yako imenikumbusha hek
Badala ya kumlaumu jamaa, alipaswa ajitafakari yeye mwnyw binti Tatizo liko wapi.

Ingekua Ni mhuni Basi hata iyo laki asingemuachia,angemtoroka kimya kimya.

Hapo Tatizo Ni binti Sio jamaa,

Na laiti jamaa nae angepewa nafas ya kufunguka,Basi najua Hali ya hewa ingechafuka hapa.

Wanaume tunabeba mengi sn kifuani,
Ni ngumu sn kumchana mwanamke Moja Mbili tatu, unamuonea huruma unampa nauli aende zake tu kwa amani.
Una hoja,usipuuzwe
 
Hivi kumbe Zina tofauti eeeh?
Aaah nishaelewa, Basi POA.

Napendaga ta ta ta...Kisha pwa pwa pwa.[emoji38]
😆😆😆 Dadeq hii noma itakua ndio figo76 ipo hivyo ignition unaanza na ta ta ta afu ikishakolea Moto baada ya kukanyaga mafuta ni pwa pwa pwa duuh balaaa
 
Hii nchi wastaarabu wapo wachache sana.

Watu wamekaa kiujanja ujanja tu; kuwa makini na watu wa nchi hii, anaweza kuwa na muonekano wa kistaarabu lakini ndani ni primitive kabisa.
 
Ha ha ha....umekumbuka wapi mamii[emoji4]
Kuna dada amechati na mtu online kumbe ni mbaba Yuko Njombe,akamtumia nauli,bibie kasafiri mpaka Njombe,kufika yule mbaba kampokea kaenda nae gesti,kachuma fimbo kamcharazaaa kamwambia mtoto mdogo unapata wapi ujasiri wa kuvuka mikoa mitatu kumfuata mtu usiemjua,kamwambia nyie ndio mnaosumbua wazazi wenu,akamlipia chumba,asubuhi kaenda mkurupua kampandisha Njombe express hajampa hata mia......source ya hii taarifa ni hekaheka za Dida wasafi Fm walimuhoji huyo bidada😂😂😂😂😂😂😂
Ila mi nilihisi dada alikuwa mbovu sivyo alivyotuma picha za Snapchat jamaa akamind
 
Back
Top Bottom