madala mujipa
JF-Expert Member
- Feb 23, 2017
- 1,417
- 862
''Huu ni urongo joo''ni Kenyan voiceWadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Wadau, amani iwe kwenu.

We ni house boy wa Lema?Wadau, amani iwe kwenu.

Hermaphrodite.Kwani mimi ni jinsia gani?
Acha Wivu wa Kike BashiteWadau, amani iwe kwenu.

so wakuu nyie mnaangalia wafuasi tu...sis hatukuyaanzsha haya mambo ni serikal ya ccm ndio ilipoanza kusaka vyet feki na ikaomba wanachi tiusaidie kuwafichua walionavyo au si kweli mkuu? km msako umeisha c mtangaze tu basi issue inakwshaKwani hiyo hoja ya vyeti inawasaidia vipi kuongeza wafuasi?
Hakuna kitu kinaniudhi Kama familia ya god bless Lema kuwapandisha watoto wao ambao ni wadogo na kuwalisha maneno watukane CCM wakati hata miaka 18 hawajafikia. Watu wa haki za watoto mko wapi jamani? Mbowe wanawe kawaficha hajawahi waanika hadharani seif sharif hamad pia, lipumba pia slaa pia, magufuli pia, mrema pia, tundu lisu pia,kijo bisimba pia, lowasa pia, sumaye pia,mbatia pia sababu kwao hawataki kuvuruga hatima za watoto wao bila ridhaa yao. Lema na mkewe wajitathimini kutumia watoto wao ambao hawajafikia age of majority kwenye siasa. Napendekeza Lema na mkewe wakamatwe wawekwe ndani na watoto wao wachukuliwe watunzwe na ustawi wa jamii ili wapate nafasi ya kukua kuishi na kufikia hatima zao bila kuingizwa kwenye siasa bila ridhaa yao kutokana na udogo waoWadau, amani iwe kwenu.
Habari inayotrend kwa sasa ni tukio la Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema kumkataza mkewe kutofuatana naye Dar kwa ajili ya kesi ya Kamanda Wema Sepetu. Mke wa Lema amesikika akimshauri mumewe kufuatana naye Dar es Salaam kwa ajili ya kesi hiyo ambayo imepangwa kusikilizwa leo kabla haijaahirishwa. Hata hivyo, Godbless Lema alimsihi mke wake abaki nyumbani aangalie watoto wakati yeye anapambana kumsaidia kamanda Wema ambaye ameonesha uungwana wa kwenda Arusha mara mbili kwa ajili yake.
Inadaiwa kuwa awali Mama Lema hakuwa tayari kumuacha mumewe aende pekee Dar es Salaam kwa madai kuwa usalama wake upo mashakani. Hata hivyo, Lema alimtoa hofu hasa baada ya kumhakikishia kuwa ataambatana na Kamanda Kalist Mabina.
Godbless Lema atakuwa Jijini Dar es Salaam kwa siku kadhaa kwa ajili ya maandalizi ya hafla ya kumkabidhi Kadi ya CHADEMA Kamanda Wema na kwamba wawili hao watakuwa wanakutana mara kwa mara na wakati wowote kwa ajili ya kukamilisha hafla hiyo ambayo inadaiwa kuwa itakuwa ya aina yake
Hiyo sababu ipo wapi hapa? Au umesahau kuiandika?Wadau, amani iwe kwenu.