Hii ndiyo sababu ya matajiri kuwa na watoto wachache

Hayo ulioyaandika hapo sio sababu za tajiri kuwa na watoto wachache hiyo hesabu ulioiweka hapo hinahusu mtu mwenye uwezo mdogo
 
Hayo ulioyaandika hapo sio sababu za tajiri kuwa na watoto wachache hiyo hesabu ulioiweka hapo hinahusu mtu mwenye uwezo mdogo
Ni kiasi gani dunia inapoteza katika kutekeleza familly planning kwa ukuaji wa uchumi wa watu binafsi na dunia...?

Tuache basi kusema utajiri maana ni kama neno lenye ukakasi tuseme uchumi bora...

Na wakati huo huo fahamu tajiri hawezi kujaribu mbinu za mtu maskini...

Kupinga ukweli ni kuipinga asili.
 
Tamaduni zingine Utajiri ni Watoto..... Nendeni mukaijaze dunia
 
Oya hajataja wazungu embu ludia uzi ndo uccomenti
 
Kama hesabu yako ndiyo hiyo bill gate angekua na watoto wangapi?
Je uhalisia ana watoto wangapi?
Siyo suala la pesa ni upendo wa mtu
 
Hongera sana kaka. Wewe ni genius.
 
Acha kujifariji mkuu. Zaa watoto wachache ili upate akiba ya kuwasaidia wale wasio na baba wala mama. Alafu kumbuka world resources are so limited lakini idadi ya watu inaongezeka kila uchao.
 
Upo sahihi kwa namna fulani, lakini on the other side of the coin, ukubwa wa familia ni lazima uzingatie kipato cha wazazi/walezi.
 
starehe pekee ya masikini ni dunye tena kwa mke huyohuyo,sasa kwanini asi zae kama simbilisi,Tajiri mitikasi tofauti anabadili kama anapenda dunye,japo wengi hawanamuda na dunye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…