GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
hiyo timu saa hizi wangekuwa wanalialia kwa mama awahurumie ili wamuimbie mi5 tenaKuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
"Purely Talented, Charismatic Fella, Game Changer and Entertainer"
Alichokuhonga zidisha mara Kumi.Tajiri MO kachangia kiasi gani?
Ngoja waje kukutukana.Kama kuna mijitu ambayo ni mizwazwa , empty head, kamasi kichwani ni mashabiki wa simba na yanga !!" Kama wamelogwa ama wamelaaniwa, pita vijiweni boda boda, kwenye kahawa huko, masokoni, stand na hata offcn ni ubishi wa kipumbavu wa hizi timu za kariakoo ! Sishangai kuona wamechanga na wataendelea kuchanga
Inajulikana hiyo team,si wale ambao hawatafuzu robo fainalKuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Ndio upumbavu wao utazidi kujidhihirisha !Ngoja waje kukutukana.
Mimi mwanaume nahonga sihongwi.Alichokuhonga zidisha mara Kumi.
Wakiongozwa nawe Kinara / Mwandamizi wao.Wajinga ni wengi nchi hii
Kuchagia ni ujinga kivipi? Au unafikiri kila mtu anapesa za mawazo mpaka achangie vitu vidogo kama hivyo wewe uone ni ujinga?Wajinga ndio waliwao mjini mipango tu wajinga Kila siku wanazaliwa
Suala sio kuchangia ni unachangia kitu gani? Kwa investment iliyopo simba ni kivipi ikose mil 100 mpaka ichangishe, mtu mwenye akili timamu lazima hii kitu ikufikirisheKuchagia ni ujinga kivipi? Au unafikiri kila mtu anapesa za mawazo mpaka achangie vitu vidogo kama hivyo wewe uone ni ujinga?
Unafahamu Barcelona ma Real Madrid zilishawahi kuchangiwa na mashabiki licha ya kuwa ni club tabiri?Suala sio kuchangia ni unachangia kitu gani? Kwa investment iliyopo simba ni kivipi ikose mil 100 mpaka ichangishe, mtu mwenye akili timamu lazima hii kitu ikufikirishe