GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.