Mpigania uhuru wa pili
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 3,380
- 6,376
Lini zilichangiwa na mashabiki hapa hatuongelei ada ya mwanachama hapanaUnafahamu Barcelona ma Real Madrid zilishawahi kuchangiwa na mashabiki licha ya kuwa ni club tabiri?
Besiktas ya uturuki mwaka 2012 na lazio 2013 na kosa ni vurugu za mashabiki na faini ilipwa na mashabiki wenyewe .Lini zilichangiwa na mashabiki hapa hatuongelei ada ya mwanachama hapana
Tunaongelea michango inayotokana na adhabu
Mbona unahamisha magoli tena ulianza na madrid na barcelona ghafla umekimbilia kwa besiktasBesiktas ya uturuki mwaka 2012 na lazio 2013 na kosa ni vurugu za mashabiki na faini ilipwa na mashabiki wenyewe .
Madrid walichangiwa kwenye ujenzi wa uwanja, barcelona mpaka sasa mashabiki wanachama wanaichangia kwa mambo mbalimbali , kuhamisha magoli nikukuonyesha tukio kama la simba ilivyotokeaMbona unahamisha magoli tena ulianza na madrid na barcelona ghafla umekimbilia kwa besiktas
We onyesha ushahidi wa mashabiki wa madrid na barcelona kuchangia timu yao
🤣🤣🤣Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Acha uongoMadrid walichangiwa kwenye ujenzi wa uwanja, barcelona mpaka sasa mashabiki wanachama wanaichangia kwa mambo mbalimbali , kuhamisha magoli nikukuonyesha tukia kama la simba ilivyotokea
Uwongo upo wap hapo ? kumbukumbu zote ingia mitandaoni utazikuta , uzuri mmoja kwa sasa hakuna anaeweza kudanganya kirahisi ,rekodi zipo.Acha uongo
Ingekuwa Yanga hapa, wangekamata wauza viazi wote sokoni Mabibo na Kariakoo pamoja na wauza maji ya Kandoro mabarabarani na kuwalazimisha kulipa hela. This is Simba, timu ya Taifa na wenye nchi wanaojitambua.Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Mmekua BAKULI FC sasaKuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Nenda katume pesa wajinga ndio mtaji wa MatajiriKuchagia ni ujinga kivipi? Au unafikiri kila mtu anapesa za mawazo mpaka achangie vitu vidogo kama hivyo wewe uone ni ujinga?
We akili Yako haipo timamu Barcelona na Madrid lininwametembeza bakuli thibitisha hapaUnafahamu Barcelona ma Real Madrid zilishawahi kuchangiwa na mashabiki licha ya kuwa ni club tabiri?
We ni muongo lini Madrid na Barcelona wakachangiwa kulipia adhabu unadhani hatufatilii hizo klabu danganya wajinga wenzioUwongo upo wap hapo ? kumbukumbu zote ingia mitandaoni utazikuta , uzuri mmoja kwa sasa hakuna anaeweza kudanganya kirahisi ,rekodi zipo.
Jambo jema simba nguvu moja!Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Kuchangia uwanja wapi nimesema adhabu?We ni miongo lini Madrid na Barcelona wakachangiwa kulipia adhabu unadhani hatufatilii hizo klabu danganya wajinga wenzio
Leta uthibitisho hapa kwamba mashabiki walichangia uwanja sio porojoKuchangia uwanja wapi nimesema adhabu?
Wewe ndio hauna akili , tafuta hizo taarifa za Madrid kuchangiwa kwenye ujenzi wa uwanja na barcelona kupata michango ya wanachama , kama hauwezi kausha .We akili Yako haipo timamu Barcelona na Madrid lininwametembeza bakuli thibitisha hapa
We akili Yako kisoda habari ulete wewe uniambie Mimi nitafute nimeshakuambia hamna hicho kitu leta uthibitisho hapa sio porojo za vijiweni jinga wewe uwanja wa Barcelona unajengwa na kampuni ya Spotify usifikiri wote tupo kama weweWewe ndio hauna akili , tafuta hizo taarifa za Madrid kuchangiwa kwenye ujenzi wa uwanja na barcelona kupata michango ya wanachama , kama hauwezi kausha .
tafuta hizo taarifa sio lazima kila kitu uambiwe tuLeta uthibitisho hapa kwamba mashabiki walichangia uwanja sio porojo
Unataka hoja au matusi ?We akili Yako kisoda habari ulete wewe uniambie Mimi nitafute nimeshakuambia hamna hicho kitu leta uthibitisho hapa sio porojo za vijiweni jinga wewe uwanja wa Barcelona unajengwa na kampuni ya Spotify usifikiri wote tupo kama we