Hii ndiyo Simba SC mpaka muda huu tayari Mashabiki wa Simba SC wameshajichangisha Milioni 32 kati ya Milioni 100 za CAF ili ikalipwe kama Faini

Hii ndiyo Simba SC mpaka muda huu tayari Mashabiki wa Simba SC wameshajichangisha Milioni 32 kati ya Milioni 100 za CAF ili ikalipwe kama Faini

Mbona unahamisha magoli tena ulianza na madrid na barcelona ghafla umekimbilia kwa besiktas
We onyesha ushahidi wa mashabiki wa madrid na barcelona kuchangia timu yao
Madrid walichangiwa kwenye ujenzi wa uwanja, barcelona mpaka sasa mashabiki wanachama wanaichangia kwa mambo mbalimbali , kuhamisha magoli nikukuonyesha tukio kama la simba ilivyotokea
 
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Ingekuwa Yanga hapa, wangekamata wauza viazi wote sokoni Mabibo na Kariakoo pamoja na wauza maji ya Kandoro mabarabarani na kuwalazimisha kulipa hela. This is Simba, timu ya Taifa na wenye nchi wanaojitambua.
 
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Mmekua BAKULI FC sasa
Kweli "what goes around comes around",mliwacheka yanga sasa yamerudi kwenu kuomba omba
 
Uwongo upo wap hapo ? kumbukumbu zote ingia mitandaoni utazikuta , uzuri mmoja kwa sasa hakuna anaeweza kudanganya kirahisi ,rekodi zipo.
We ni muongo lini Madrid na Barcelona wakachangiwa kulipia adhabu unadhani hatufatilii hizo klabu danganya wajinga wenzio
 
20241229_204327.jpg
 
Kuna Timu moja nina uhakika wangekumbana na hili Rungu la CAF kama Wangesema wachangishane ili wakalipe Faini huko CAF kwa Mashabiki wao walivyo Masikini na Wabahili (Malugume) nina uhakika hadi hivi sasa wangekuwa na ama Shilingi Mia Tano (Jero) ya Sarafu au Elfu Moja (Buku) ya Karatasi.
Jambo jema simba nguvu moja!
 
We akili Yako haipo timamu Barcelona na Madrid lininwametembeza bakuli thibitisha hapa
Wewe ndio hauna akili , tafuta hizo taarifa za Madrid kuchangiwa kwenye ujenzi wa uwanja na barcelona kupata michango ya wanachama , kama hauwezi kausha .
 
Wewe ndio hauna akili , tafuta hizo taarifa za Madrid kuchangiwa kwenye ujenzi wa uwanja na barcelona kupata michango ya wanachama , kama hauwezi kausha .
We akili Yako kisoda habari ulete wewe uniambie Mimi nitafute nimeshakuambia hamna hicho kitu leta uthibitisho hapa sio porojo za vijiweni jinga wewe uwanja wa Barcelona unajengwa na kampuni ya Spotify usifikiri wote tupo kama wewe
 
We akili Yako kisoda habari ulete wewe uniambie Mimi nitafute nimeshakuambia hamna hicho kitu leta uthibitisho hapa sio porojo za vijiweni jinga wewe uwanja wa Barcelona unajengwa na kampuni ya Spotify usifikiri wote tupo kama we
Unataka hoja au matusi ?
 
Back
Top Bottom