Fanton Mahal
JF-Expert Member
- Mar 22, 2024
- 1,597
- 4,661
Yaan watu wakaache vidimbwi kisa bwawa? Atulie. Ni muda wa kuwa mtu wa ibada huuInasoma kirometa 😂😂kibao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan watu wakaache vidimbwi kisa bwawa? Atulie. Ni muda wa kuwa mtu wa ibada huuInasoma kirometa 😂😂kibao
Una uhakika na hili mkuu?Inasoma kirometa 😂😂kibao
Mimi nimeshatulia kaka mkubwaTulia kwanza, utapata wa kukuoa.
😂😂😂😂😂Wewe unanimalizia hasira zako za kuachwa naona, vipi ushamaliza kesi??
Vizuri. Usirudie tena kumfanyia hivyo mtu ambae huna interest nae tena, inashusha heshima yako.Mimi nimeshatulia kaka mkubwa
😁😁😁jamani unanichekesha, sana uzuri ni kwamba mimi mtu mstaarabu katafute mpenda vita mwenzio muendeleze ligi.😂😂😂😂😂
Dahh mkuu honestly umenichekesha sana.
Sasa kwan nikiachwa ndio unataka nije kutomba bwawa lenye msururu wa ma-x kama wote??
Nimeachwa ,now nagonga vitoto vya 2000 mpaka 2004.
We tuliza tumbo la uzazi hilo
Hakika mkuu, nimelitambua hili sitarudia tenaVizuri. Usirudie tena kumfanyia hivyo mtu ambae huna interest nae tena, inashusha heshima yako.
Ahahahah jaman sasa ishakua ligi tena?😁😁😁jamani unanichekesha, sana uzuri ni kwamba mimi mtu mstaarabu katafute mpenda vita mwenzio muendeleze ligi.
Yeye akajua anamkomoa eti kisa tu dinner twa 10k!!!!Vizuri. Usirudie tena kumfanyia hivyo mtu ambae huna interest nae tena, inashusha heshima yako.
Bila shaka utakua bwabwa wewe🥶silagi pulutebo chiefWewe mrembo.
Uhakika unao weweUna uhakika na hili mkuu?
Usiseme kitu kama huna uhakika sasaUhakika unao wewe
Yaani una x kila Kona unatabia za umalayamalayaAniue kwasababu zipi sasa jamani, atakuwa ana matatizo binafsi
Mungu akusimamie wewe mbaba una stress za mapenziAhahahah jaman sasa ishakua ligi tena?
Sio nimekujibu accordingly???
We tulia, utapata mgane aje mmalize maisha pamoja😅😅
Nimeokoka lakini mkuuYaani una x kila Kona unatabia za umalayamalaya
Hebu nieleze jinsi yako maana unaniweka njia pandaBila shaka utakua bwabwa wewe🥶silagi pulutebo chief
SAwa..ila hizo stress sijazijua badoMungu akusimamie wewe mbaba una stress za mapenzi
Kajiaibisha sana. Ni aibu hata kusimulia hapa ila kwa kuwa ni fake I'd ndio maana kasimulia. Mtaani hasemiYeye akajua anamkomoa eti kisa tu dinner twa 10k!!!!
Nimejiaibisha na nini eti🙄Kajiaibisha sana. Ni aibu hata kusimulia hapa ila kwa kuwa ni fake I'd ndio maana kasimulia. Mtaani hasemi
Hicho ni kichaka.Nimeokoka lakini mkuu