Hii ndiyo treni yenye spidi ya kasi sawa na ndege, nilidhani uongo kumbe kweli

Nimekuambia to me, Magufuli is overrated. Sasa hayo maelezo yote ni ya nini Comrade!! Ni mtazamo wangu huo.
 
Magufuri hamna kitu ndiye chanzo cha matatzo mengi sana yule hakuwa kiongozi kbs kama alikuwa na nia ya dhati na taifa hili na watz angekubali kuishi vema na wale wanaomkosoa tena ingemsaidia sn
Pili angeleta katiba mpya si katiba hii ya ku save interest za chama chake na yeye bnafsi
Tatu angejiweka kando na ccm awe rais si kuleta uccm wake hapa fatilia hata ziara zake nyng utagundua hilo

Nne kitendo cha kutaka kutawala milele bila kikomo hakika alistahili kuenguliwa kama ilivyotokea angetuleta matatzo makubwa sn ya waasi

Taifa hili lilipata kiongoz 1 tu naye ni Nyerere hakuwa mroho wa madaraka hakujitajirisha na hata alipoachia madaraka alikaa kando kbs alitunza raslimali za taifa hili kwa maslahi ya kzazi kijacho.
Magufuri alikuwa muongo sn anadanganya watu na kujitangaza kila uchwao lakini kiuhalisia he was overrated tu.
 
Hii ndo nguvu ya magnetic Levitation

Magnetic levitation (maglev) or magnetic suspension is a method by which an object is suspended with no support other than magnetic fields. Magnetic force is used to counteract the effects of the gravitational acceleration and any other accelerations.
 
Aliitwa Magufuli. Ukishajifunza jinsi ya kutofautisha l na r njoo tukupe ukweli wa hili jambo
 
Vyuma havisuguani mkuu,wanatumia tech ya MAGnetic LEVitation (MAGLEV) uliza zaidi kuhusu hiyo tech, ni ya ajabu kidogo
Kwa ufupi iko hivi kanuni ya usumaku ni kwamba pande zinazofanana zinakinzana sasa hapa kinachofanyika ni kwamba mataruma na reli vinasumakishwa kwa umeme ambapo mataruma na reli vyote vinapewa hali ya ufanano kiusumaku kwahiyo vitakinzana na kwamaana hiyo treni ya aina hii mataruma yake ikitembea hayagusani na reli hivyo treni inakuwa kama inaelea kwenye mataruma na pale inaposimama inashuka na kugusa mataruma.
 
Halafu bado kuna mtu anataka sayansi ifundishwe kwa kiswahili mashuleni..!!! Tuendelee kusumakishana na haya mambo ya mifurumbato
 
Alisikika us.huzi wa bata mmoja akinena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…