DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Ukweli ni kwamba Mbowe atashinda. Si kwasababu anakubalika sana na WanaCHADEMA hapana, ila ni kwasababu mirija ya chakula ya wajumbe walio wengi imefungamanishwa naye. Hivyo akishindwa kula yao ita-stop abruptly. CHADEMA ya sasa ipo chini ya Mbowe na washirika wake.
Lissu atashindwa uchaguzi huu si kwasababu hakubaliki na WanaCHADEMA hapana. Ila ni kwasababu wanaomuunga mkono wengi (jamii) hawana haki ya kupiga kura kwenye mkutano mkuu.
Lakini ukweli utabaki pale pale. Mbowe atashinda kwa minority (wajumbe) ila majority (WanaCHADEMA) wanamtaka Lissu. Kwahiyo Mbowe atapoteza kundi kubwa sana la watu mtaani. Na CCM next general election njia ni nyeupeeee...!
Mbowe akishinda atawarudisha wale Covid-19 kwamba waje wakipe chama nguvu ila haitasaidia kitu.
Nb. Watz wa leo siyo wa jana. Hivyo endelea kusukuma kete Kwa tahadhari kubwa Sana.