Hii ndo tathimini kuelekea January 22 katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Hii ndo tathimini kuelekea January 22 katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Muwe angalau mnatumia hata nusu ya ubongo wenu. Nchi hii ina wachovu wanaodhani mtu kwenda nje ya nchi au kuishi nje ni big deal sana na wanatumia hilo kupiga propaganda za kijinga mno. Ni hivi. Hata kama uko Tanzania na familia yote bado unaweza kutojali na kuharibu na mambo yakiwa mabaya unachukuwa familia yako na kukimbia. Assad wa Syria alikuwa nje au familia yake ilikuwa nje? Wewe undani likitokea la kutokea Mbowe atabaki hapo na familia yake? Samia atabaki? Kinana atabaki? Hawa wote watatimua na waache nyie wachovu mnaoshabikia mambo msiojua hapo mnauana.
Ndio maana hutakiwi kushabikia wajinga wanaoharibu nchi yao wakimbie nchi
Nyie walala hoi mtapeleka wapi familia zenu?
Love ur nation 😍
 
Lissu anakubalika na wana harakati wa nje ya nchi ambao hata hawajawekeza TZ, ndani ya CDM hana nguvu ya kisiasa na ndiyo maana wapambe wake wanakialia hapa kika siku sababu wanaijua nguvu ya Mbowe ndani ya CDM.

Ushindi kwake ni ndoto za mchana - cha msingi aanze kuongea na Zitto mapemaa kabla halijachwea - otherwise mwendo wa siasa kwake ndani ya CDM ushagota.

BOX linakwemda kumfanyizia tena asubuhii.
Hivi chama kinahitaji zaidi wanachama ai wananchi kukiunga mkono?
 
Hacheni mambo ya hovyo ya kutengeneZa image kwamba MBOWE akishanda basi atakuwa kasaidiwa na ccm ukweli nikwamba MBOWE atamshinda lissu kialali kwasababu MBOWE amusika kwa kiasi kikubwa kuweka VIONGOZI kianzia ngazi ya tawi Hadi Kanda wakati lissu aliokuwa nje ya nchi kwahiyo lissu kumshinda MBOWE italuwa ni muugiza kwake
 
Back
Top Bottom