kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,229
- 11,531
Una ushahidi wa uhakika?Mali zipi za nchi zimeuzwa?kauziwa nani?Hicho ndicho walichopanga siku ile Mbowe alipotolewa gerezani, wamtengezee Samia njia nyeupe bila kujali waTanzania wanataka nini... Anyway, hata akishindwa huko mbeleni ni kiza kinene juu ya uongozi wa huyu mama. Watanzania tunaogopa sana sijui kama nchi itapigwa mnada tena kwa waaarabu au kwa akina south Korea? Kuuza mali za nchi ni kitu ambacho wengi wetu hatutaki na akitokea mtu akaifanya hii sera ya chama chake, atapata wafuasi wengi na ndio maana hata Mwabukusi alieleweka kirahisi sana kwenye ile kesi ya bandari
Mnapiga kelele kwenye mitandao tu, Field kazi hamuwezi,nchi haiongozwi tokea mitandaoni
Mama anaupiga Mwingi,nchi inasonga