Hii ndo tathimini kuelekea January 22 katika uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa.

Una ushahidi wa uhakika?Mali zipi za nchi zimeuzwa?kauziwa nani?

Mnapiga kelele kwenye mitandao tu, Field kazi hamuwezi,nchi haiongozwi tokea mitandaoni

Mama anaupiga Mwingi,nchi inasonga
 
ukweli ni kwamba TAL hawezi kushinda, Ccm kupitia tiss imepandikiza mamluki wengi Sana kule Chadema. mamluki hao watampigia kura mbowe. MboWe amekuwa akipewa pesa nyingi za ufadhili kutoka Ccm.
Una ushahidi wa unayoyaongea,au ni stori za vijiweni
 
Siasa ya Dunia ya sasa ni pesa,sio kukomaa wakati una njaa,hamuoni USA,Trump,angekua dhaifu mnadhani angetoboa pale
 
Una ushahidi wa uhakika?Mali zipi za nchi zimeuzwa?kauziwa nani?

Mnapiga kelele kwenye mitandao tu, Field kazi hamuwezi,nchi haiongozwi tokea mitandaoni

Mama anaupiga Mwingi,nchi inasonga
Mwabukusi alikuwa anashitakia nini kule Mbeya? Tuanzie hapo kwanza. Na ile carbon offsetting uliisikia au ulihadithiwa au labda huijui?Acheni kushabikia mambo ya kijinga unless kama hamuna watoto wa kuwaachia urithi huko mbeleni.
 
Hao ni wapiga kelele,wana wa blackmail ili muwaone wapambanaji muwaunge mkono,huyo nae kalamba asali kitambo kama hamjui😀

Ukiambiwa toa ushahidi wa rasilimali iliyouzwa kutoka wapi kwenda wapi,kiasi gani
Utabaki unaki gugumizi
 
wewe ndugu yangu, kama ua access, iweke mikataba hiyo mezani wazi watu waione kama hujakimbia. Swali ni je, mikataba ya bandari ipo au haipo, mikataba Carbon offseeting ipo au haipo? jibyu swali, mikataba ya ki chief mangungo ipo au haipo? Umekaa tu kusema tioa ushahidi. Nina wasiswasi na uelewa wako wa mambo au labda mpaka uambie au uhadithiwe ni nini kinaendelea. Anyway , karibu kundini utetee rasimali za wajukuu zako. ni hilo tu.
 
Nchi haiongozwi kwa kelele za wanaharakati mitandaoni,kuna taratibu na sheria
 
Zitaje taratibu na sheria hizo sio mambo ya jumla jumla, anza na vipengele vyake kwanza.
Miongozo ya nchi haisambazwi ovyo mitandaoni,wengi hampendi nchi yenu mpo bize na wanaharakati ambao mambo yakiharibika wanakimbilia nje

Lisu,Lema familia zao wameziacha nje,wao wamerudi kupiga kelele huku ,bora hata Mbowe alikomaa 😀
 
ukweli ni kwamba TAL hawezi kushinda, Ccm kupitia tiss imepandikiza mamluki wengi Sana kule Chadema. mamluki hao watampigia kura mbowe. MboWe amekuwa akipewa pesa nyingi za ufadhili kutoka Ccm.
Wajumbe wamegundua hilo, kwamba mbowe hafanyi siasa za kweli, anaenda kupigwa chini, kama lilivyopigwa chini pandikizi la serikali kwenye uchaguzi wa TLS, akashinda MWABUKUSI, Aksahinda Fatma Karume, akashinda Lissu.

Lissu mbali ya figisu zote lazima atoboe, nipo hapa utarudi kaniambia majira yakitimia
 
Hapo kwa kupewa viti vya ubunge nakubaliana na wewe na hata jana kuna uzi nimelisema hili. Kwa mfano akipewa viti 20 mpaka 30 atavuna ruzuki ya kutosha
 
"Mbowe yupo kimya anatafuta kura, Lissu yupo bize mitandaoni kukilaumu chama"
 
Sema wewe chawa wa mbowe ndiyo humpendi sisi wengine tunampenda.
Halafu mbona humshauri mbowe kuhama? Kwani yeye ndiye alianzisha Chadema? Au ndo tuanze kuamini yale maneno ya saccos ya Mbowe
Kama hujui Chadema ni mali ya nani, siwezi kuweka mjadala na wewe kuhusu Chadema. Sorry!!
 
Miongozo ya nchi haisambazwi ovyo mitandaoni,wengi hampendi nchi yenu mpo bize na wanaharakati ambao mambo yakiharibika wanakimbilia nje

Lisu,Lema familia zao wameziacha nje,wao wamerudi kupiga kelele huku ,bora hata Mbowe alikomaa 😀
Muwe angalau mnatumia hata nusu ya ubongo wenu. Nchi hii ina wachovu wanaodhani mtu kwenda nje ya nchi au kuishi nje ni big deal sana na wanatumia hilo kupiga propaganda za kijinga mno. Ni hivi. Hata kama uko Tanzania na familia yote bado unaweza kutojali na kuharibu na mambo yakiwa mabaya unachukuwa familia yako na kukimbia. Assad wa Syria alikuwa nje au familia yake ilikuwa nje? Wewe undani likitokea la kutokea Mbowe atabaki hapo na familia yake? Samia atabaki? Kinana atabaki? Hawa wote watatimua na waache nyie wachovu mnaoshabikia mambo msiojua hapo mnauana.
 
Unge conclude kwamba ili kuwe na chama chenye nguvu sana cha upinzani, basi Lissu aanzishe chama chake amwachie Mbowe lichama lake. Lakini bahati mbaya sio Lissu wala wafuasi uchwara wake wako tayari kuondoka Chadema iliyojengwa na Mbowe!
Lissu nje ya cdm ama CCM ni bure kabisa katika ulingo wa siasa. Aamue moja tu akishindwa uchaguzi akimbilie sisiemi ama abakie kuwa mwanachama mtiifu huko cdm.
 
Unafikiri msajili wa vyama atakipa usajili chama ambacho kinakwenda kuiketea changamoto CCM?
 
Kwamba Wajumbe wengi wanaishi kwa kutegemea Mirija ya Chadema Si kweli, kwanza Chadema haina hela za kuwalipa watu wote hao.

Mnaweza kufanya kampeni zenu vizuri tu bila kutunga uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…