Hii ndoto ilinifanya nikasilimu

Soma vizuri uelewe, kilichonifanya nisilimu ni hiyo ndoto na baada ya kupitia Quran
 
Nafkiri hawatengwi kwa sababu hawajulikani. Wanafanya kwa siri, ila ukijulikana ni kimbembe! Ngoma nagwa! Ngoma tokomile! 😀🤬
suala la ushoga, halina mjadala, ni dhambi. wakristo tupo madhehebu mengi sana, lakin dhehebu pekee lililobariki ushoga ni Anglican, kanisa la Uingereza kwa kifupi. hilo ni dhehebu lenye watu wachache sana duniani. ila madhehebu mengine yoote ya wakristo, hakuna ndoa ya ushoga. ushoga ni dhambi.

lakini ukija kwenye uhalisia wa maisha, angalia hata hapa kwetu tu, sehemu alipo mwarabu kama hakuna ushoga. angalia zanzibar, angalia mombasa na tanga. utapata jibu. angalia hata yule askari shoga wa zanzibar aliyeshitakiwa, mahakama za zanzibar zimesema hana hatia. hivi kweli inakuja kichwani? na leo mtu toka zenji anaweza kuja kusema wakristo wanasapoti ushoga, wala sio wakristo wote, ni kipande kidogo sana cha wakristo, tena semeni tu WAANGLICAN. sio wakristo.
 
Wakuu Nini swali naomba mnieleweshe maana nimeona Kwa mtu wangu WA karibu.

Ni kwanini mtu asiye muislamu akitibiwa na mganga kisha ikaonekana kupona ni ngumu huwa anaambiwa awe muislamu?
jiulize tu, kwanini wao wana dawa za kisuna na kufuga jini kwao sio dhambi kwasababu imani yao inasema kuan majini mazuri na mabaya, yaani wale malaika wachafu ambao Mungu aliwafukuza kwamba ni wachafu, wao wanasema mengine mazuri mengine mabaya, kwahiyo yale mazuri wanayafuga tu. kwa maana nyingine, mungu wao anaexist pamoja na malaika wachafu aliowafukuza, kuna mungu kweli hapo?

wakati upande wetu sisi, tunasema Mungu ni mtakatifu, hachangamani na majini na mashetani, hivyo ni dhambi kuamini kwenye viumbe hao na kushirikiana nao, ndio maana hata dawa za kisuna ni ushirikina uliochangamka.
 
[emoji120]
 
Ukisoma Quran utagundua manabii wote kuanzia Adam,Ibrahim,Mussa, Suleiman,Yakub,Issa na wengine wote walikuwa waislam.
Adma ndie muislam wa kwanza
hiyo ni imani yako, na kwa mujibu wa kitabu chako. sisi wenye dini zingine huwa tunaamini imani yako ni imani potofu na yote yaliyoandikwa humo yaliandikwa purposefully ili kupindua kile kilichomo kwenye Biblia takatifu. Mood alikuja kubadili kilichopo kwenye Bible na chote alichoandika ni uongo, hakijathibitika kama vile vilivyoko kwenye Biblia.
 
Ukisoma Quran utagundua manabii wote kuanzia Adam,Ibrahim,Mussa, Suleiman,Yakub,Issa na wengine wote walikuwa waislam.
Adma ndie muislam wa kwanza
hiyo ni imani yako, na kwa mujibu wa kitabu chako. sisi wenye dini zingine huwa tunaamini imani yako ni imani potofu na yote yaliyoandikwa humo yaliandikwa purposefully ili kupindua kile kilichomo kwenye Biblia takatifu. Mood alikuja kubadili kilichopo kwenye Bible na chote alichoandika ni uongo, hakijathibitika kama vile vilivyoko kwenye Biblia.
 
Kila mtu huzaliwa muislamu?mimi nimezaliwa myahudi
 
We ndoto ya siku Moja tu unahama dini, at least ingejirudia mara tatu, then uombe Dua kwa Mungu uloyekua unamwamini, then ufanye uamuzi.ujue pia ndoto zinaweza kutokana na Mungu, mazingira au shetani
 
Kila mtu huzaliwa muislamu?mimi nimezaliwa myahudi
mi sikuzaliwa muislam na kamwe siwezi kuwa muislam. mnasemaje kila mtu anazaliwa muislam wakati uislam umekuja juzi tu hapa, haukuwepo zamani? 500 years baada ya Yesu? na ulikuwa wakati Biblia imeshaandikwa, mtume wenu alitakiwa kusoma Biblia kabla, au kuna sehemu yeyote kwenye kitabu chenu alisema alisoma Biblia walau ajue nini maana ya Mungu?
 
Ungekua na hekma usingeweka prof ya vuzi,wewe bado kafri
 
Hii itakua uongo lakini hata ikiwa kweli haiwezi kubadili Imani yetu maana sisi wakristo tunaye kiongozi mmoja tu hapa duniani ambayo ni Yesu kristo
Yesu hayupo duniani, ameshafariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…