Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asa kwanini usikikize harakaharaka. !??🚮😂
Acha chuki wewe nyimbo imetapakaa kila kona utakufa mdomo wazi wewe??!! Watu wengine kila kitu kubisha tuuu🙄🙄🙄🙄 maisha yanawasumbua nyieAnaimba ujinga mtupu
Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
View attachment 3174076 Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?
And the rest is this thread. Keep it Up
Hili lifala la wapi???Acha chuki wewe nyimbo imetapakaa kila kona utakufa mdomo wazi wewe??!! Watu wengine kila kitu kubisha tuuu🙄🙄🙄🙄 maisha yanawasumbua nyie
Choko wewe kaa kimyaHili lifala la wapi???
Yaani nife Kwa akili ya kutokuubali wimbo?
Takko lakko
Wewe ni Mkristo mkuu?Alichoimba ni nini hapo?
Ujumbe ni nini?
Ni mziki wa dunia au injili?
Sijasikia neno Yesu wala Mungu.
Jamaa ameamua kufuata nyayo za Willy Paul's, yule kijana mjinga kabisa wa kule Kenya.
Hujui muziki weweUnabisha nin sasa ukisikiliza kwa haraka unaweza fikiria ni sauti soul hata mim kwa mara ya kwanza nilifikiri ni sauti soul..
Yes!
No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
View attachment 3174076 Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?
And the rest is this thread. Keep it Up
Thank you, keep watchingHakunà wimbo hapo