Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

Hii Ngoma ya Joel Lwaga Imekua ni National Anthem. Wachawi haeakosekani hata wenye chuki pia, lakini imeenda

Unabisha nin sasa ukisikiliza kwa haraka unaweza fikiria ni sauti soul hata mim kwa mara ya kwanza nilifikiri ni sauti soul..
Asa kwanini usikikize harakaharaka. !??🚮😂
 
Yes!

No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
View attachment 3174076 Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?

And the rest is this thread. Keep it Up
 
Alichoimba ni nini hapo?
Ujumbe ni nini?
Ni mziki wa dunia au injili?
Sijasikia neno Yesu wala Mungu.

Jamaa ameamua kufuata nyayo za Willy Paul's, yule kijana mjinga kabisa wa kule Kenya.
Wewe ni Mkristo mkuu?

Hebu nenda kasome Bibilia kitabu cha Wimbo Bora
 
Yes!

No one saw it coming ..wafia dini wanasema eti ni bongo flavor. Hawasikilizi message.
Hii hapa...
View attachment 3174076 Kaka Joel mimi binafsi nlikua sikujui, ila kuna siku nlikuta wimboo huu unapigwa mahali nikauliza huyu nani?

And the rest is this thread. Keep it Up

Kama ulikua humjui Joel Lwaga, wewe ni moja ya audience aliyokuwa anaitaka kupitia huo wimbo wenye mahadhi ya kisasa.

Kiuhalisia siuchukii Ila nauona kama inspirational song tu kama naringa ya Zuchu.

Maana ni wimbo unaoliwaza na kutia moyo Ila spiritually upo empty. Ukitaka kuliamini hilo tafuta signature song ya Joel "sitabaki kama nilivyo" Au hata zingine ambazo ni za modern gospel Ila bado at least zilikuwa nzuri kama " Yote mema".

siuchukii huo wimbo Ila nauona kama unamzaa commercial Joel kitu ambacho sitamani kukiona maana Joel ana kipaji kikubwa sana sanaa. Ila akianza kuiona pesa na umaarufu kuliko injili. Ni wazi litakuwa anguko lake kiroho
 
Olodumare in Yoruba traditional Religion cannot be equated with the concept of God as conceived in Christianity neither could it be bifurcated.
Hapo simply anasifia miungu ya yoruba Olorun yenye kutoa utajiri na umaarufu 😂😂🤣🤣🤣 huku makasuku wanadhani anasifu Mungu yehova.
 
Back
Top Bottom