Hii nguo Kila nikiivaa nakutana na watu si chini ya watano Kwa siku wameivaa pia

Hauko serious kifupi.
Unapima u seriously kivipi mkuu? Umekuja ukaikosa hii nguo?
Mimi hapa JamiiForum nimepewa mpaka msaada wa chakula, msaada wa nauli, msaada wa sehemu ya kulala , nimepata kazi nyingi kupitia hapa, Kuna ubaya gani kuweka hii nguo hapa? Nilikuwa na uwezo wa kwenda kuibebebea zege na ikaisha ndani ya siku kadhaa, lakini hapa huenda wahitaji wapo mtu akaifanya nguo ya kanisani na ikawa vizuri zaidi kuliko kuibebea zege mimi.

Pamoja na yote mkuu tuko pamoja. Mitaani unaweza kwenda wewe kugawa hiyo misaada.
 
Watanzania wanapenda pundamilia ili wakivaa wafanane na wenzao hifadhini
 
Kama unataka kuvaa nguzo ya peke yako inakubidi fundi akushonee ya gunia au kisalphate.
 
Acha kuchukulia mambo serious kihivyo kiasi cha kuniandikia waraka wote huu ambao hauna maana yoyote kwangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…