Kama kweli elimu uliyonayo bila kujali ni rasmi au ya kitamaduni hebu kaa kitako umtafakari mmojammoja Kati ya waliokwenda huko Dubai Kama Kuna hoja waliyoweza kuijenga kwa wenye kampuni. Akili ya kawaida inakataa siyo?
Nitakushangaa Sana Kama bado unaendelea kutetea upuuzi huo wa kubebeshwa mifuko ya Rambo ughaibuni! Naona kinyaa Kama mzazi.
Walibeba agenda zipi na walirudi na majibu gani mapya? Kitenge aliandika kuwa kule bandarini Dubai huoni watu zaidi ni mitambo tu tofauti na waziri wako aliyesema wataongeza ajira zaidi ya 70,000. Huuoni huo mkanyagano na mkorogano? Na bado unabaki eti ungeenda wewe! Ona aibu dogo na acha kulinganisha elimu humu hazikusaidii! Mkataba ni mbaya na mbovu tu period!