Urban Edmund
JF-Expert Member
- Mar 20, 2018
- 2,250
- 3,607
ukiwa Bongo cha msingi uhai tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vichwa vya mwendawazimu kabisa wale can you imagine???walipata zero kwenye kila kituKitenge, Zembwela na Hando ;pale ambapo Phd holder wanawatumia standard 7 failures kuhalisha ujinga kwa Watanzania majuha.
Ni msaliti wa mtu mweusiMsisahau kitenge aliipambania Sana loliondo iende arabuni
Mkuu watanzania tuna ujinga mwingi sana, let's call a spade its name.Huhitajika Uongo mwingi sana na nguvu kubwa sana kuhalalisha uovu.
Wao ngoja waipe promoooo tu , Watanzania sio wajinga, na Watanzania wa Sasa wameelimika.
Hawa jamaa wanajaribu kupost viclip vyao huko instagram wakihojiana na mpemba wananchi wanawazodoa sijui nani aliyegharamia safari yakuwapeleka waandishi mazezeta huko dubaiHalafu mbona kama hawana ushawishi wowote !
Elimu sio msingi mkuu wa kuwa na msimamo wa kizalendo,kuna maprofesa na madkta yana unga mkono dpword,Acha kuwagawa watanzania kwa msingi wa elimu zao.Hawa jamaa wanafkr wote tumeishia la Saba , Watanzania tulichobakiza ni jeshi kutuunga mkono , mana hawa wanasiasa wamejificha kwenye nguvu ya jeshi...
[emoji3][emoji3][emoji3]Hivi kama Zembwela kule anawasiliana kwa Lugha ipi? Au yeye ni Yes Yes No No
Kama Mama awaachie nchi yenu, kwa maana yeye hausiki kwa nn na yet msimuachie nchi yake ?Huyu mama atuachie nchi yetu jamani.
Ulitaka uende wewe? Ungekua wewe una exposure wewe ndiyo ungeenda lkn cha ajabu hunaHumaanishi ulichokiandika hapa! Waandishi wako wapi hapo? Kitenge au zimbwela ndio wa kufanya documentary? Kwa uelewa gani na exposure ipi waliyonayo?
Huu ujinga wa kuanzisha vyombo ya habari na kuajiri watu wasio na taaluma ya habari ni janga!
Ona unavyowaza kimaskini na kizamani! Huu uzalendo mnaohubiri na kuhubiriwa ndio huu wa kuanguliza vinyweo vyenu kwa waarabu kuwadalalia ndugu zenu kwa shs. Milioni sita? Ona aibu unapojibu hoja za kiume wewe! Kabisa na wewe unakubali kuwakilishwa na zembwela yaani! Basi umeoza kichwani!Ulitaka uende wewe? Ungekua wewe una exposure wewe ndiyo ungeenda lkn cha ajabu huna
Uzi wako ulikuwa uwe mzuri sana hadi ulipokuja mtaja huyo mdini @faizafox nikaishia kutoendeleaView attachment 2666300
Nani amefatilia Wasafi media leo asubuhi? Hawa watangazaji watatu tangu juzi wapo Dubai na wanajinasibu Kama ni wageni rasmi wa DP world kutoka Tanzania. Na wanapata escort ya ving'ora Kama wageni wa heshima.
Leo walikuwa wanawahoji watanzania ambao wanafanya kazi hapo bandari ya Dubai. Kiuhalisia wote waliohojiwa ni kutoka kwa ndugu zetu unguja na pemba (Zanzibar).
Mambo mengi mazuri Sana ya DP world yameongelewa,ikiwa pamoja na bandari kupokea meli 30 kwa wakati mmoja na kuhudumia meli sita zenye magari 3k kwa siku mbili tu. Mambo ni mengi.
Lakini Hawa jamaa ni wanajizima data au hawajui kilio Cha wanaowapinga hao DP world kuwa siyo ufanisi wao Bali ni MKATABA mbovu na wa kinyonyaji na wakivhief Mangungo baina yao na Tanzania?
Hata dada yetu wa Jf bi Faiza Fox nae aliandikw uzi wenye mtazamo huu huu wa kina Zembwela kuwa "DP world wapo hadi Uingereza iweje nyie walala hoi watanganyika mnawakataa". Akapigwa maswali haya haya,umeuona mkataba wa Uingereza? Au mkataba wa Uingereza na huu wa kwetu unafanana?
Alafu kingine; hivi ni nani amawafadhili Hawa jamaa watatu? Huko Dubai? Maana wanajimwayamwaya kama wafalme. Na Wana ego balaa,full kujisifu.
Hii nguvu ya DP world kwenye media za bongo siyo mchezo.
Lakini Hawajui kuwa ukimsisitiza Sana Mtu kuwa kitu chako ni ni kizuri ndivyo unavyomfanya astuke kwamba kwa nini jamaa ananilazimisha Sana nione hiki kitu chake kipo sawa? Jamaa wanafosi mpaka kila mtu Sasa anajua kwamba wanalazimisha!!
Hii tabia tunayo Sana sisi mawinga/ wazee wa kulenga hapa kariakoo. Nikiona hiki kiatu ni 'mdosho',nguvu ninayotumia kukuaminisha kwamba ni kiatu genuine ili uingie mkenge siyo ya nchi hii. Ukifungua wallet tu tukamalizana napita hivi,utajijua mbele ya safari. Ukikivaa ukapiga hatua zako 20,mguu unanyanyuka,soli inabaki chini.
Nikimwangalia Gerald Hando ni Kama Mtu mwenye kujistukia tofauti na wenzie. Hawa jamaa wawili wanaupepeta mdomo si mchezo. Hawana breki.
Huyo ni extremist.Uzi wako ulikuwa uwe mzuri sana hadi ulipokuja mtaja huyo mdini @faizafox nikaishia kutoendelea
Hao walioenda wana akili na exposure kuliko ata kama una elimu ya makaratasi unayodhani inakufanya uwe bora zaidi ya hao.Ona unavyowaza kimaskini na kizamani! Huu uzalendo mnaohubiri na kuhubiriwa ndio huu wa kuanguliza vinyweo vyenu kwa waarabu kuwadalalia ndugu zenu kwa shs. Milioni sita? Ona aibu unapojibu hoja za kiume wewe! Kabisa na wewe unakubali kuwakilishwa na zembwela yaani! Basi umeoza kichwani!
Kama kweli elimu uliyonayo bila kujali ni rasmi au ya kitamaduni hebu kaa kitako umtafakari mmojammoja Kati ya waliokwenda huko Dubai Kama Kuna hoja waliyoweza kuijenga kwa wenye kampuni. Akili ya kawaida inakataa siyo?Hao walioenda wana akili na exposure kuliko ata kama una elimu ya makaratasi unayodhani inakufanya uwe bora zaidi ya hao.
Basi nenda wewe....aaaaah
Eti kufanya udalali...Poverty mentality ina kuumiza eti
Kuna mwamba Masoud Kipanya na Siza wa clouds hata Huyo Gerald Hando ni Bonge ya Watangazaji Wana maswali ya maana yenye mantiki na yenye kukidhi au kukata kiu ya msikilizaji wanakupa unachotaka kusikia wao kuchimba na kutizama kitu Kwa Angle zote huwa Wana karesearch kabisa kabla ya interview (ukiwasikiliza utanielewa), so namtetea...Gerald ana miiko kama ya kina Kp na Siza ndo mana alikuwa kapooza Fulani hivi [emoji16][emoji1] kwahivo alikuwa Hana Chemistry yake pale akili kubwa kuwekwa na vitu vya kipuuzi....WATANGAZAJI WA KISASA NI MBUMBUMBU.
Akina Adam mchomvu.
Zembwela, swebe, seki, JUMA lokole, Dida,
AMA KWELI KAMA NCHI TUNAZIDI KUPOTEA, TAIFA LINAELEKEA KIFO.
katangaze wewe mwenye ufahamu.Tanzania kuna uhaba mkubwa wa waandishi wa habari na watangazaji wengi ni failure waliookotezwa hapa na pale. Na wachache wenye ufahamu tamaa imetangulia mbele