Hii nguvu si mchezo: Kitenge, Zembwela na Hando wapewa escort ya ving'ora Dubai

Umekalili kupinga pinga na makaratasi ndugu..kwani hao walienda au walitumwa kufanya nini na wameshindwa kufanya nini?Heshimu watu ata kama wewe unaona una IQ kubwa kuliko wao ingawa si kweli
 
Waarabu kila wakitaka kufanya transaction huku Tanzania huwa wanapenda kumtumia Kitenge kwenye masuala ya PR.
Walimtumia Ngorongoro naona tena wanamtumia Leo hii Bandarini.
Hawajui kuwa Kitenge ni mwandishi wa kawaida kabisa mwenye kashfa ambazo hazikubaliki pande zote yaani Tanzania na Dubai.
 
Duh

Kashfa ipi tena

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…