Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Unaweza kuniorodheshea mashindano makubwa ya CAF ni zipiUna hoja ya msingi ila sidhani kama sub-sahara pekee ina nchi 50. Ila kuna timu inajiita Vijana wa Afrika sijui nini nini lakini inashindwa kuwawakilisha hao vijana katika mashindano makubwa zaidi ya CAF. Hiyo kazi wamekuwa wanafanya Simba.
South Africa ni Sub Sahara pia.Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Africa nzima ina nchi kama 55 ukiweka na Zanzibari , ukitoa zile 4 za kiarabu na South zinabaki kama 50Una hoja ya msingi ila sidhani kama sub-sahara pekee ina nchi 50. Ila kuna timu inajiita Vijana wa Afrika sijui nini nini lakini inashindwa kuwawakilisha hao vijana katika mashindano makubwa zaidi ya CAF. Hiyo kazi wamekuwa wanafanya Simba.
Ooh ok.Africa nzima ina nchi kama 55 hivi, ukitoa zile 4 za kiarabu na South zinabaki kama 50
Ukishindwaga kujibu hoja unakujaga na maswali fulani ya kiduwanzi sana.Unaweza kuniorodheshea mashindano makubwa ya CAF ni zipi
Usijitie sana ujuaji, nimesema South Afrika nimeitoa sababu inatofautiana sana na nchi za Sub Sahara, kiuchumi na kimaendeleo sababu ya influence ya wazungu
Hongereni makoloKatika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Yanga ndio wenyewe tulisema haya ni mashindano ya loosers hatuna budi kukubali hiyo kauli imetoka kwetu wenyewe! Ni sawa na neno utopolo wala halikutoka upande wa pili limetoka huku huku Yanga!Kwa hiyo paragraph ya mwisho umetuweza wanayanga na ndio ilikuwa nia ya Uzi wako.
haya mashindano ni ya Africa sio ya zone's haijalishi timu zinatoka wapi kila timu inajipambania yenyewe : Nb hata Europe mambo ni hayo hayo timu kutoka eastern Europe nidhaifu kwa timu za Western Europe huku sub Saharan Africa timu mbili tu Mamelodi Sundowns na Mazembe ndio wamezeza kuzi challenge timu za NorthernKatika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Kikubwa ni kuwaweka wachezaji vijana kwenye winga zote mbili ili wawakimbize mabeki wa SimbaKinachoniogopesha zaidi, waarabu wanaujua mpira vizuri, sasa Simba akipangwa na waarabu lazima Simba atafungwa maana wameishasoma beki ya Simba hasa Onyango ni mzito, kwa hiyo waarabu wanakuwa wanajipenyeza mbela ya Onyango kwa kasi, hapo lazima itokee faulo na kadi, au penati au Onyango amuache foward akafunge.