Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh.Una hoja ya msingi ila sidhani kama sub-sahara pekee ina nchi 50. Ila kuna timu inajiita Vijana wa Afrika sijui nini nini lakini inashindwa kuwawakilisha hao vijana katika mashindano makubwa zaidi ya CAF. Hiyo kazi wamekuwa wanafanya Simba.
Zakiarabu sio nne tu Kuna misri,Sudan, Libya, Morocco, Algeria, Tunisia, Mauritania,somaria, ChadAfrica nzima ina nchi kama 55 ukiweka na Zanzibari , ukitoa zile 4 za kiarabu na South zinabaki kama 50
Hajui kama ni location anadhani ni economySouth Africa ni Sub Sahara pia.
Mchimba kisima.Yanga ndio wenyewe tulisema haya ni mashindano ya loosers hatuna budi kukubali hiyo kauli imetoka kwetu wenyewe! Ni sawa na neno utopolo wala halikutoka upande wa pili limetoka huku huku Yanga!
Hakuchemsha alitoa sababu ya kiulinzi.mnaochemsha ni ninyi.Ametoa sababu japo ya kijinga.Haya sasa nchi hamsini na tano dhidi ya mbili.Mkuu hapo kubali umechemsaha. South Africa ni Sub Saharan country. Au neno sub sahara maana yake hujui ni nini?
Huwezi kusema eti SA haichukuliwi kama sub Saharan counrty wakati ipo sub Sahara. Yaani ipo kusini mwa jangwa la Sahara.
Hapo hata mtoto atakucheka.
Usitusumbue wewe jamaa.Sisi tukimfunga huyo Simba wako kwenye ligi ya nyumbani na kumbamiza kibonde TP Mazembe yatosha.Hayo mambo makubwa hatuwezi mpaka akili ziturudie.Kama ujuavyo,huku kwetu wenye akili ni wawili tu.Ole wako uniite Utopolo!😜😜😜😜😜Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Kwa Simba hii!,tusubiri maumivuKatika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Mueleze aelewe vizuri.South African Rep.huwezi kuifananisha na wachovu wengine japo ipo Afrika.Wale ni Ulayaulaya mtupu.Ni sawa na nchi zilizopo kaskazini mwa Afrika esp.Waarabu.Huwa mioyoni mwao hawajihesabu kama ni Waafrika.Ref:Wale waliofika robo fainali kombe la dunia walivyotoa maneno yao kuhusu ushindi wao kwamba si wa Waafrika ila ni wa Waarabu.Usijitie sana ujuaji, nimesema South Afrika nimeitoa sababu inatofautiana sana na nchi za Sub Sahara, kiuchumi na kimaendeleo sababu ya influence ya wazungu
Wenye Simba yao ni full shangwe.Sasa wewe usiye wa Simba utapataje maumivu?Hicho ni kiherehere cha bei rahisi aisee!Kwa Simba hii!,tusubiri maumivu
Linaitwa luzaz cup,😆Mkuu mbona umetusahau kwenye loser's cup
Na uzuri wake(kama mkuu mmoja alivyotanabaisha)majina yote ya kiboyaboya na hovyo yametolewa na wao wenyewe.Linaitwa luzaz cup,😆
Maana halisi ya Sub Saharan Country inayotumika hasa kiuchumi, South Africa haimo. Sub Saharan Africa inakusudiwa countries with economic disadvantages compared to west. Maana halisi sio nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara kama ujuavyo. Same Japan, iko kundi la west ingawa haipo west.Mkuu hapo kubali umechemsaha. South Africa ni Sub Saharan country. Au neno sub sahara maana yake hujui ni nini?
Huwezi kusema eti SA haichukuliwi kama sub Saharan counrty wakati ipo sub Sahara. Yaani ipo kusini mwa jangwa la Sahara.
Hapo hata mtoto atakucheka.
Sudan, Chad na Mauritania sio ya mataifa ya kiarabu... kama ni Waarab basi hata Somalia na Zanzibar ni Waarabu,Zakiarabu sio nne tu Kuna misri,Sudan, Libya, Morocco, Algeria, Tunisia, Mauritania,somaria, Chad
Sentensi ya mwisho ungeandika..."kula chuma hicho"...!We,all,are students of life!Maana halisi ya Sub Saharan Country inayotumika hasa kiuchumi, South Africa haimo. Sub Saharan Africa inakusudiwa countries with economic disadvantages compared to west. Maana halisi sio nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara kama ujuavyo. Same Japan, iko kundi la west ingawa haipo west.
Ila onyango changamoto kweliHata Raja alitumia mbinu hiyo hiyo, waarabu wanakuwa wanakimbia kwa kasi na kujipenyeza mbele ya mabeki wa Simba hasa Onyango.
Sasa hao waarabu watakaopangwa na Simba robo lazima watapitia video za Raja vs Simba ili wapate mbinu.
Je, Simba anao muda wa kufanya mabadiliko ya safu yake ya ulinzi ndani ya muda huu mfupi ili kuhimili heka heka za Waarabu?
Yaani itakuwa kichekesho kama Simba hatasajili mabeki imara na wepesi msimu ujao!
Waambie hao wapumbavuMaana halisi ya Sub Saharan Country inayotumika hasa kiuchumi, South Africa haimo. Sub Saharan Africa inakusudiwa countries with economic disadvantages compared to west. Maana halisi sio nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara kama ujuavyo. Same Japan, iko kundi la west ingawa haipo west.
Matokeo yenyewe mnayopataga huko ndio haya.Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Kwa nini unachaguachagua?Toa yote uliyowahi kuyaona.Matokeo yenyewe mnayopataga huko ndio haya.View attachment 2575108
Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app