Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

Kikubwa ni kuwaweka wachezaji vijana kwenye winga zote mbili ili wawakimbize mabeki wa Simba
Hata Raja alitumia mbinu hiyo hiyo, waarabu wanakuwa wanakimbia kwa kasi na kujipenyeza mbele ya mabeki wa Simba hasa Onyango.

Sasa hao waarabu watakaopangwa na Simba robo lazima watapitia video za Raja vs Simba ili wapate mbinu.

Je, Simba anao muda wa kufanya mabadiliko ya safu yake ya ulinzi ndani ya muda huu mfupi ili kuhimili heka heka za Waarabu?

Yaani itakuwa kichekesho kama Simba hatasajili mabeki imara na wepesi msimu ujao!
 
We unaona ni sawa timu karibu 8 kutoka kwenye nchi za kiarabu pekee ?

Tp Mazembe imebaki historia sasa hivi kila kibonde anajipigia tu

haya mashindano ni ya Africa sio ya zone's haijalishi timu zinatoka wapi kila timu inajipambania yenyewe : Nb hata Europe mambo ni hayo hayo timu kutoka eastern Europe nidhaifu kwa timu za Western Europe huku sub Saharan Africa timu mbili tu Mamelodi Sundowns na Mazembe ndio wamezeza kuzi challenge timu za Northern
 
Usijitie sana ujuaji, nimesema South Afrika nimeitoa sababu inatofautiana sana na nchi za Sub Sahara, kiuchumi na kimaendeleo sababu ya influence ya wazungu
Mkuu hapo kubali umechemsaha. South Africa ni Sub Saharan country. Au neno sub sahara maana yake hujui ni nini?

Huwezi kusema eti SA haichukuliwi kama sub Saharan counrty wakati ipo sub Sahara. Yaani ipo kusini mwa jangwa la Sahara.

Hapo hata mtoto atakucheka.
 
Mkuu hapo kubali umechemsaha. South Africa ni Sub Saharan country.
South wenyewe hawajichukulii kuwa ni Waafrika, achilia mbali Sub Sahara, endelea kujishobokesha na mtu ambaye hataki kuji associate na wewe
 
South wenyewe hawajichukulii kuwa ni Waafrika, achilia mbali Sub Sahara, endelea kujishobokesha na mtu ambaye hataki kuji associate na wewe
Kutokujichukulia kwao hakumaanishi kuwa sio waafrika au wa sub sahara.

The fact is South Africa is a Sub Saharan country and it's also an African country.

Hicho unachotaka kutuambia wewe ni upuuzi tu ambao hauna mantiki wala fact. It's nonsensical.
 
Huko nje ya Afrika, Afrika huwa inakua classified namna hii:

Kuna North Africa ya Waarabu
Kuna South Africa ya makaburu
Then kuna Africa, ambayo ni Africa masikini

Wanaposema bara la Afrika ni masikini na maisha mabovu, huwa hawamaabishi North Africa na South Africa.

Wanamaanisha hiyo kwenye red na ndio nayaomaanisha mimi
su7qk01fhm181 (1).png
 
View attachment 2574852
Huna hoja. Usijaribu ku justify ujinga wako kwa kutumia nguvu. Unazidi kujionyesha kuwa ni mjinga 🚮
 
Mambo Iko
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club

Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,

Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?

Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,

HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Mambo ill shirikiaho wewe champion kitu gani? Miamba yote shirikiaho. Imeamua tuu mwaka huu wawe huko
 
Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club

Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,

Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?

Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,

HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Mamelodi haipo Sub-saharan? Ila kweli ni aibu maana hata hiyo Simba yenyewe imepenya kwa ndondokela tu kwa kupangwa na vibonde. Inabidi kitu kifanyike.
 
Huko nje ya Afrika, Afrika huwa inakua classified namna hii:

Kuna North Africa ya Waarabu
Kuna South Africa ya makaburu
Then kuna Africa, ambayo ni Africa masikini

Wanaposema bara la Afrika ni masikini na maisha mabovu, huwa hawamaabishi North Africa na South Africa.

Wanamaanisha hiyo kwenye red na ndio nayaomaanisha mimi
View attachment 2574852
Hayo ni mawazo yako,lakini usisimame hadharani kuongea ujinga
 
Una hoja ya msingi ila sidhani kama sub-sahara pekee ina nchi 50. Ila kuna timu inajiita Vijana wa Afrika sijui nini nini lakini inashindwa kuwawakilisha hao vijana katika mashindano makubwa zaidi ya CAF. Hiyo kazi wamekuwa wanafanya Simba.
Unamaanisha Young Africans?
 
Back
Top Bottom