KING MIDAS
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 8,589
- 16,936
Usijitie sana ujuaji, nimesema South Afrika nimeitoa sababu inatofautiana sana na nchi za Sub Sahara, kiuchumi na kimaendeleo sababu ya influence ya wazungu
Hata Raja alitumia mbinu hiyo hiyo, waarabu wanakuwa wanakimbia kwa kasi na kujipenyeza mbele ya mabeki wa Simba hasa Onyango.Kikubwa ni kuwaweka wachezaji vijana kwenye winga zote mbili ili wawakimbize mabeki wa Simba
Ngazi ya vilabu ni CAF Champions league na mataifa ni AFCONUnaweza kuniorodheshea mashindano makubwa ya CAF ni zipi
haya mashindano ni ya Africa sio ya zone's haijalishi timu zinatoka wapi kila timu inajipambania yenyewe : Nb hata Europe mambo ni hayo hayo timu kutoka eastern Europe nidhaifu kwa timu za Western Europe huku sub Saharan Africa timu mbili tu Mamelodi Sundowns na Mazembe ndio wamezeza kuzi challenge timu za Northern
Mkuu hapo kubali umechemsaha. South Africa ni Sub Saharan country. Au neno sub sahara maana yake hujui ni nini?Usijitie sana ujuaji, nimesema South Afrika nimeitoa sababu inatofautiana sana na nchi za Sub Sahara, kiuchumi na kimaendeleo sababu ya influence ya wazungu
South wenyewe hawajichukulii kuwa ni Waafrika, achilia mbali Sub Sahara, endelea kujishobokesha na mtu ambaye hataki kuji associate na weweMkuu hapo kubali umechemsaha. South Africa ni Sub Saharan country.
Kutokujichukulia kwao hakumaanishi kuwa sio waafrika au wa sub sahara.South wenyewe hawajichukulii kuwa ni Waafrika, achilia mbali Sub Sahara, endelea kujishobokesha na mtu ambaye hataki kuji associate na wewe
'haibu' kubwa 😛jahazi lina enda kuzama kwa aibu mnaenda kuhaibisha taifa
Nilitaka iumfundisha pia,ametanguliza unazi kumbe hazijui nchi za sub SaharaSouth Africa ni Sub Sahara pia.
Huko nje ya Afrika, Afrika huwa inakua classified namna hii:Kutokujichukulia kwao hakumaanishi kuwa sio waafrika au wa sub sahara.
The fact is South Africa is a Sub Saharan country and it's also an African country.
Hicho unachotaka kutuambia wewe ni upuuzi tu ambao hauna mantiki wala fact. It's nonsensical.
AFCON, CHAN, SUPER LEAGUE NA CL. Hayo mengine ni ya lizas.Unaweza kuniorodheshea mashindano makubwa ya CAF ni zipi
Huna hoja. Usijaribu ku justify ujinga wako kwa kutumia nguvu. Unazidi kujionyesha kuwa ni mjinga 🚮Huko nje ya Afrika, Afrika huwa inakua classified namna hii:
Kuna North Africa ya Waarabu
Kuna South Africa ya makaburu
Then kuna Africa, ambayo ni Africa masikini
Wanaposema bara la Afrika ni masikini na maisha mabovu, huwa hawamaabishi North Africa na South Africa.
Wanamaanisha hiyo kwenye red na ndio nayaomaanisha mimi
View attachment 2574852
zanzibar sio nchi.Africa nzima ina nchi kama 55 ukiweka na Zanzibari , ukitoa zile 4 za kiarabu na South zinabaki kama 50
Mambo ill shirikiaho wewe champion kitu gani? Miamba yote shirikiaho. Imeamua tuu mwaka huu wawe hukoKatika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Mamelodi haipo Sub-saharan? Ila kweli ni aibu maana hata hiyo Simba yenyewe imepenya kwa ndondokela tu kwa kupangwa na vibonde. Inabidi kitu kifanyike.Katika mashindano ya CAF Champions League zinaenda timu 8 robo fainali ila cha ajabu kati ya timu hizo timu 1 tu ndio inatoka Sub Sahara Africa, Simba Sports Club
Yaani nchi 50 za Sub Sahara zimeshindwa kutoa timu zaidi ya Simba kwenda robo fainali,
Zambia, Malawi, Nigeria, DRC, Gabon, Sudan, Zimbabwe, Ghana, Togo, Ivory Coast, Senegal, Guinea, Gambia, Cameroon, Burkina Faso, Uganda, Kenya, Burundi, Mali....n.k duh nchi nyingi sana zote ni 0?
Najua kuna watakaosema kuhusu Mamelodi, lakini Mamelodi ni ya South Afrika ambao haihechukuliwi kama Sub Sahara kutokana na influence ya makaburu kiuchumi,
HII NI AIBU KWA WAAFRIKA
Hayo ni mawazo yako,lakini usisimame hadharani kuongea ujingaHuko nje ya Afrika, Afrika huwa inakua classified namna hii:
Kuna North Africa ya Waarabu
Kuna South Africa ya makaburu
Then kuna Africa, ambayo ni Africa masikini
Wanaposema bara la Afrika ni masikini na maisha mabovu, huwa hawamaabishi North Africa na South Africa.
Wanamaanisha hiyo kwenye red na ndio nayaomaanisha mimi
View attachment 2574852
Ni hayo wanaokwenda Simba Robo fainali. Yale mengine mliyakataa wenyewe kwa kusema ni ya walio shindwa, ya hisani, ya walio feli.Unaweza kuniorodheshea mashindano makubwa ya CAF ni zipi
Unamaanisha Young Africans?Una hoja ya msingi ila sidhani kama sub-sahara pekee ina nchi 50. Ila kuna timu inajiita Vijana wa Afrika sijui nini nini lakini inashindwa kuwawakilisha hao vijana katika mashindano makubwa zaidi ya CAF. Hiyo kazi wamekuwa wanafanya Simba.