Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

Una hoja ya msingi ila sidhani kama sub-sahara pekee ina nchi 50. Ila kuna timu inajiita Vijana wa Afrika sijui nini nini lakini inashindwa kuwawakilisha hao vijana katika mashindano makubwa zaidi ya CAF. Hiyo kazi wamekuwa wanafanya Simba.
Duh.
 
Yanga ndio wenyewe tulisema haya ni mashindano ya loosers hatuna budi kukubali hiyo kauli imetoka kwetu wenyewe! Ni sawa na neno utopolo wala halikutoka upande wa pili limetoka huku huku Yanga!
Mchimba kisima.
 
Hakuchemsha alitoa sababu ya kiulinzi.mnaochemsha ni ninyi.Ametoa sababu japo ya kijinga.Haya sasa nchi hamsini na tano dhidi ya mbili.
 
Usitusumbue wewe jamaa.Sisi tukimfunga huyo Simba wako kwenye ligi ya nyumbani na kumbamiza kibonde TP Mazembe yatosha.Hayo mambo makubwa hatuwezi mpaka akili ziturudie.Kama ujuavyo,huku kwetu wenye akili ni wawili tu.Ole wako uniite Utopolo!😜😜😜😜😜
 
Kwa Simba hii!,tusubiri maumivu
 
Usijitie sana ujuaji, nimesema South Afrika nimeitoa sababu inatofautiana sana na nchi za Sub Sahara, kiuchumi na kimaendeleo sababu ya influence ya wazungu
Mueleze aelewe vizuri.South African Rep.huwezi kuifananisha na wachovu wengine japo ipo Afrika.Wale ni Ulayaulaya mtupu.Ni sawa na nchi zilizopo kaskazini mwa Afrika esp.Waarabu.Huwa mioyoni mwao hawajihesabu kama ni Waafrika.Ref:Wale waliofika robo fainali kombe la dunia walivyotoa maneno yao kuhusu ushindi wao kwamba si wa Waafrika ila ni wa Waarabu.
 
Maana halisi ya Sub Saharan Country inayotumika hasa kiuchumi, South Africa haimo. Sub Saharan Africa inakusudiwa countries with economic disadvantages compared to west. Maana halisi sio nchi za kusini mwa Jangwa la Sahara kama ujuavyo. Same Japan, iko kundi la west ingawa haipo west.
 
Zakiarabu sio nne tu Kuna misri,Sudan, Libya, Morocco, Algeria, Tunisia, Mauritania,somaria, Chad
Sudan, Chad na Mauritania sio ya mataifa ya kiarabu... kama ni Waarab basi hata Somalia na Zanzibar ni Waarabu,
 
Sentensi ya mwisho ungeandika..."kula chuma hicho"...!We,all,are students of life!
 
Ila onyango changamoto kweli
 
Waambie hao wapumbavu
 
Matokeo yenyewe mnayopataga huko ndio haya.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…