Hii ni aibu kubwa kwetu Waafrika, Yaani nchi 50 kutoa club moja ya Simba

Bangi haikupendi, CAF ni Africa.
 
Sahara maana yake jangwa, kiarabu,sub Saharan Africa ni nchi zisizo waarabu za afrika
 
Wavunje na hii rekodi kama wanaweza
 
Hii ni michuano ya Afrika, timu zilizopo zote za Afrika
 
Kama haujui kitu bora ukae kimya mkuu, sub Saharan Africa ni nchi zote ambazo zipo chini ya North Africa, Saharan desert ndo inatumika kama boundary ya North Africa, na sub Saharan Africa
 
Africa nzima ina nchi kama 55 ukiweka na Zanzibari , ukitoa zile 4 za kiarabu na South zinabaki kama 50
Za kiarab ziko nne tu ee! Libya, Morocco, Algeria, Egypt, Tunisia....
 
We jamaa bwana, sasa hapa watu wanaongelea uchumi au wanaongelea jiografia? Kijiografia South Africa nayo ni moja ya nchi ya sub Saharan Africa, na maana halisi ya sub Saharan Africa ni nchi ambazo zinapatikana chini ya jangwa la Sahara

Sasa Kwa sababu nchi nyingi ambazo zipo chini ya jangwa la Sahara ni maskini ndo huwa inakuja hiyo concept ya Ku generalize kuwa sub Saharan Africa ni countries with economic dis advantages though kuna nchi kama Nigeria huwa sometimes inaongoza hata Kwa GDP kumzidi south Africa.View attachment 2576764
 
Labda siku hizi maana sijafuatilia.
Lakini zamani walikuwa wanasema " Nchi za Kusini mwa Jangwa la Sahara ukiiondoa Afrika Kusini"

Maana yake Afrika Kusini ipo eneo la Kusini mwa Jangwa la Sahara, inaondolewa ili isiharibu graph tu.
 
Wenzetu wachezaji wao wote wanacheza Europa huku yanabaki magarasa tu ngoja ukutane nao national team hao ndio utaelewa ninachokwambia watu wanawekeze soka la national team nyie mnawekeza kwenye vilabu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…