Hii ni aibu leo Tabata. Polisi anatoa maelekezo kwa Wanajeshi aisee

Hawata kuelewa kbsa
 
Ni kweli unachosema ni kwamba kwa Sasa vile vtuo vya polisi vikubwa vinalindwa na JW...ukute anatoka maelekezo sehemu sensitive za kiulinzi before talking off..
 
Reactions: Cyb
Tanzania hakuna wanajeshi, kuna wavaa magawanda.

Sasa naelewa kwann kuna kipindi walikuja na kampeni ya kupiga marufuku raia kuvaa nguo zinazofanana na magwanda. Maana hawana kitu cha ziada zaidi ya magwanda.
Kawaambie sasa
 
Hiyo kazi ilipaswa kufanyiwa na migambo na askari jamii nikuulize TU ikitokea nchi jirani ikasogeza silaha zake mpakani anaenda nani Sasa ilihali wote wako huku mtaani kukimbizana na bodaboda
 
Warukishwe kichura chura kabisa
Huenda akili ikarudi
 
Hiyo kazi ilipaswa kufanyiwa na migambo na askari jamii nikuulize TU ikitokea nchi jirani ikasogeza silaha zake mpakani anaenda nani Sasa ilihali wote wako huku mtaani kukimbizana na bodaboda
Bro Alex on the beat ,relax kaka mambo ya usalama na vyombo vyake yako complicated kwa raia sio rahisi kuelewa kila kitu na sio kila kitu utaelezwa kaka ,kikubwa tubaki hapa kula ubuyu wa D9 basi
 
Reactions: Cyb
Vijana acheni hamasa za kijinga. Suala la maelekezo mbona la kawaida tu, je kama hao Wanajeshi ndio Wana muhimu huyo Polisi ili atoe maelezo, mnajuaje ?

Au kwenye nyinyi utandaji wa Wanajeshi ni mabavu kila sehemu au kila muda ? Acheni hila na kuleta taharuki.
 
Reactions: Cyb
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…