Sasa mbona umefananisha vyeo ambavyo viko mbali mbali sana hakuna aliyesema kila mwanajeshi yuko juu ya polisi wote, ila ukimchukua mwanajeshi na polisi wenye vyeo vinavyofanana basi mwanajeshi atakuwa juu ya polisi, private wa jeshi yuko juu ya constable wa polisi na luteni wa jeshi yuko juu ya inspekta wa polisi ingawa rank zao zinaonekana sawaWatu mnajidanganya sana. Si kila mwanajeshi yupo juu ya polisi wote.
Umchukue Private wa JWTZ useme yupo juu kwa cheo kwa Inspector wa jeshi la polisi?
Mkuu kuwa makini wasije wakakupa Kesi ya uhaini ππPrivate ni sawa na assistant inspector, koplo ni sawa na inspector, sajenti ni sawa na ASP
Nilikuwa nazingua tu,Mkuu kuwa makini wasije wakakupa Kesi ya uhaini ππ
Sifahamu mkuu ila ninachojua ni kwamba nyota ya jeshi iko juu ya nyota ya polisi, wenyewe wanadai huwezi fananisha nyota iliyoveshwa na raisi na nyota iliyoveshwa na mkuu wa jeshi husika, nadhani sababu nyingine ni kuzidiana kwenye intensity ya course pamoja na maslahi wanajeshi ni zaidi ya polisiNilikuwa nazingua tu,
Hivi luteni yuko sawa na nani kule police
Intensity ya course na maslahi kweliSifahamu mkuu ila ninachojua ni kwamba nyota ya jeshi iko juu ya nyota ya polisi, wenyewe wanadai huwezi fananisha nyota iliyoveshwa na raisi na nyota iliyoveshwa na mkuu wa jeshi husika, nadhani sababu nyingine ni kuzidiana kwenye intensity ya course pamoja na maslahi wanajeshi ni zaidi ya polisi
usihukumu , kumwona mtu kwenye sare ya jeshi si kwel kwamba ni mwanajeshi , umesahau maigizo ya ccmu ?Hao wajinga wana haki ya kudharauliwa na kila mtu nchi hii, pumbavu zao.
Siku nikiwaona hapa mtaani kwangu na mimi nitawatuma wakanimwagie uchafu, hawana maana hata kidogo.
Haya mmeshindwa kuchukua nchi, basi hata mauaji nayo pia mmeshindwa kuzuia?
Watu walikuwa wanapigwa shaba, halafu yenyewe kazi yao ni kuokota maiti tu..!? ******* kweli na manguo yao utafikiri ganda la nanasi ambalo halijaiva vizuri.
ππππ daah why ganda la nanasi ππHao wajinga wana haki ya kudharauliwa na kila mtu nchi hii, pumbavu zao.
Siku nikiwaona hapa mtaani kwangu na mimi nitawatuma wakanimwagie uchafu, hawana maana hata kidogo.
Haya mmeshindwa kuchukua nchi, basi hata mauaji nayo pia mmeshindwa kuzuia?
Watu walikuwa wanapigwa shaba, halafu yenyewe kazi yao ni kuokota maiti tu..!? ******* kweli na manguo yao utafikiri ganda la nanasi ambalo halijaiva vizuri.
ndgu yangu uko Tanzania but kuna kitu bado hujakijuaWe kichaaa kweli yaani polisi ampe maelekezo mwanajeshi anayelinda nchi ambayo na polisi nae analindwa 'a mwanajeshi una akili timamu kweli
Kwahiyo wanajeshi wamekubali kufungiwa kambini kama kuku wa broila kweli hapo hamna jeshiusihukumu , kumwona mtu kwenye sare ya jeshi si kwel kwamba ni mwanajeshi , umesahau maigizo ya ccmu ?
ilisemekana wanajeshi walifungiwa makambini , sas hawa tuliwaona mtaani walikuwa akina nan ?
Changanya akil zako vzr
Wengine wanasem UVCCMU walivalishwa sare za jeshi
Usitoe lawama jipe muda kwanza
Jibu hoja boss acha matusi. Kwahiyo kwamfano kwenye operation inayohusisha polisi, Inteligence agencies na jeshi kwa pamoja kama ilivyokuwa kule Kibiti Askari wa cheo Cha chini kama private au corporal asipokee maelekezo kutoka kwa kamishina wa Polisi au DG juu ya op inayoendelea?We kichaaa kweli yaani polisi ampe maelekezo mwanajeshi anayelinda nchi ambayo na polisi nae analindwa 'a mwanajeshi una akili timamu kweli