Mwendazake aligilizia thesis ya mtu mwingine anaitwa Dr Y J Phillip ambaye aliandika juu ya maganda ya korosho na kusimamiwa na Supervisor yule yule aliyemsimamia Magufuli. Kisha akamzawadia Buchweshaija teuzi alipopata uraisYule jamaa alikuwa janga la CCM.
Cheti fake, ati PhD ya sayansi inachukuliwa in 2 years!
Hakuwa na haya!
Umechokoza we mamluki toka Burundi.We bwege kaa kimya
Nonsensical and stupidityMwendazake aligilizia thesis ya mtu mwingine anaitwa Dr Y J Phillip ambaye aliandika juu ya maganda ya korosho na kusimamiwa na Supervisor yule yule aliyemsimamia Magufuli. Kisha akamzawadia Buchweshaija teuzi alipopata urais
Profesa mmoja aliyefariki kwa covid, naye alizawadiwa uenyekiti wa Bodi.Mwendazake aligilizia thesis ya mtu mwingine anaitwa Dr Y J Phillip ambaye aliandika juu ya maganda ya korosho na kusimamiwa na Supervisor yule yule aliyemsimamia Magufuli. Kisha akamzawadia Buchweshaija teuzi alipopata urais
TumbiliTanzania hakuna shida ya maji, acha maneno yako ya uchochezi..
Swala Hilo siyo jepesi mkuu Ni kweli ziwa lipo mwanza na ipo katk nnchi yetu. ila Kuna kautaritibu fln inasemekana endapo tutatumia maji ya ziwa Victoria kibabe kwa kutumia maji Yale kusambaza ktk mikoaa mingine Basi ipo uwezekano wa kuliuwa mto Nile na kuingia migogoro na wamisriKiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Hii nchi hii 😂😂😂
Hata yeye angekwama tu ILANI ingemkwamishaKiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Hakika aiseee,Egypty nzima inategemea maji ya Nile river kwa kila kitu na maisha yanakwenda,huku kwetu ni visingizio tu,tunatia aibu sana black pipoKiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Kusambaza maji ya Viktoria mkoa wa tabora tu imeenda 700bKiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Hii video aonyeshwe Mama Samia
Weka mikojo yako isambaze maji.Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Hii video aonyeshwe Mama Samia
Yule babako mwanakwendazake alifanya huo usambazaji wa maji?!Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Sioni ajabu mkuu kulalamika kwa sababu tayari Bwana ameshawapiga upofu hawaoni pahala wanapoelekea.Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!
Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.
Una Ziwa Tanganyika.
Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.
Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?
Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Kwahiyo bora tulihudumie hilo ziwa halafu wafaidi wengine?Swala Hilo siyo jepesi mkuu Ni kweli ziwa lipo mwanza na ipo katk nnchi yetu. ila Kuna kautaritibu fln inasemekana endapo tutatumia maji ya ziwa Victoria kibabe kwa kutumia maji Yale kusambaza ktk mikoaa mingine Basi ipo uwezekano wa kuliuwa mto Nile na kuingia migogoro na wamisri
Ipo siasa Kali sna juu ya matumiiz ya maji ya ziwa vitoria na pia tutalikausha kina Cha maji ya ziwa vitoria
Wananchi wana wajibu wa kujihakikishia wanapata huduma muhimu na mazingira mazuri ya kuishi.Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!