Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

Yule jamaa alikuwa janga la CCM.
Cheti fake, ati PhD ya sayansi inachukuliwa in 2 years!
Hakuwa na haya!
Mwendazake aligilizia thesis ya mtu mwingine anaitwa Dr Y J Phillip ambaye aliandika juu ya maganda ya korosho na kusimamiwa na Supervisor yule yule aliyemsimamia Magufuli. Kisha akamzawadia Buchweshaija teuzi alipopata urais
 
Nonsensical and stupidity
 
Mwendazake aligilizia thesis ya mtu mwingine anaitwa Dr Y J Phillip ambaye aliandika juu ya maganda ya korosho na kusimamiwa na Supervisor yule yule aliyemsimamia Magufuli. Kisha akamzawadia Buchweshaija teuzi alipopata urais
Profesa mmoja aliyefariki kwa covid, naye alizawadiwa uenyekiti wa Bodi.
Ikifika muda tutawataja tu.
 
kwa hapa namtetea,ulitaka asiongelee? acha aseme anatatuaje.
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Swala Hilo siyo jepesi mkuu Ni kweli ziwa lipo mwanza na ipo katk nnchi yetu. ila Kuna kautaritibu fln inasemekana endapo tutatumia maji ya ziwa Victoria kibabe kwa kutumia maji Yale kusambaza ktk mikoaa mingine Basi ipo uwezekano wa kuliuwa mto Nile na kuingia migogoro na wamisri

Ipo siasa Kali sna juu ya matumiiz ya maji ya ziwa vitoria na pia tutalikausha kina Cha maji ya ziwa vitoria
 
Kiazi wewe huyo Mwendazake alifanya nini kuzuia mabadiliko ya Tabia nchi au haya matatizo yasitokee,Acheni uchochezi wa kise...,hili jambo halihitaji Siasa kama ni Makosa waliopita nao wana Makosa kwa kushindwa kufanya Environmental Conservation.
 
Watu wamechafukwa sana aise
Poleni wanadarislama
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Hata yeye angekwama tu ILANI ingemkwamisha
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Hakika aiseee,Egypty nzima inategemea maji ya Nile river kwa kila kitu na maisha yanakwenda,huku kwetu ni visingizio tu,tunatia aibu sana black pipo
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Kusambaza maji ya Viktoria mkoa wa tabora tu imeenda 700b
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Weka mikojo yako isambaze maji.
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Yule babako mwanakwendazake alifanya huo usambazaji wa maji?!
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Sioni ajabu mkuu kulalamika kwa sababu tayari Bwana ameshawapiga upofu hawaoni pahala wanapoelekea.
 
Swala Hilo siyo jepesi mkuu Ni kweli ziwa lipo mwanza na ipo katk nnchi yetu. ila Kuna kautaritibu fln inasemekana endapo tutatumia maji ya ziwa Victoria kibabe kwa kutumia maji Yale kusambaza ktk mikoaa mingine Basi ipo uwezekano wa kuliuwa mto Nile na kuingia migogoro na wamisri

Ipo siasa Kali sna juu ya matumiiz ya maji ya ziwa vitoria na pia tutalikausha kina Cha maji ya ziwa vitoria
Kwahiyo bora tulihudumie hilo ziwa halafu wafaidi wengine?
 
Kiongozi mkuu unalalama kuwa watu wanakosa maji kwa kwa sababu ya kukata miti!

Kuna ziwa Victoria lina maji ambayo yanatakiwa kusambazwa mpaka Darisalama.

Una Ziwa Tanganyika.

Una Ziwa Nyasa na Ziwa Manyara na Eyasi.

Kwa nini usisambaze maji toka hizi water bodies?

Tutakukumbuka hayati.View attachment 2404311
Wananchi wana wajibu wa kujihakikishia wanapata huduma muhimu na mazingira mazuri ya kuishi.
Siasa zipo kwa ajili ya wananchi kujipanga kwa hilo kuanzia ngazi za chini.
Rais ana wajibu wa kuweka sera nzuri kuhakikisha mifumo inafanya kazi.
Hizi lawama za moja kwa moja kwa Rais zinatokana na ujinga ule ule wa kufikiria Rais ndiye mwenye kutoa fedha na suluhisho la kila kitu.
Kila mtu atimize wajibu wake.
 
Back
Top Bottom