Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Mwendazake aligilizia thesis ya mtu mwingine anaitwa Dr Y J Phillip ambaye aliandika juu ya maganda ya korosho na kusimamiwa na Supervisor yule yule aliyemsimamia Magufuli. Kisha akamzawadia Buchweshaija teuzi alipopata uraisYule jamaa alikuwa janga la CCM.
Cheti fake, ati PhD ya sayansi inachukuliwa in 2 years!
Hakuwa na haya!