The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Uchaguzi upo kikatiba, sherehe huchukua gharama kidogo..Kweli, sijawahi kusikia hakuna hela kwa ajili ya uchaguzi au sherehe, ila kukosekana kwa hela za kusambaza maji ni kawaida.
Jana mamilion yametumika kusherehekea majibu ya sensa.
Umeme ukiwa shida ujue mgao lazima..Mbaya zaidi mikoa ya shinyanga na baadhi ya sehemu za mwanza na tabora kuna mgao wa maji ambayo inatumia chanzo cha ziwa victoria.
Hakuna tatizo la Nchi hii Mwendazake anaweza kukosa kulaumiwa maana yeye ndio source ya kila kitu..Umechokoza we mamluki toka Burundi.
Mtanyooka tu mrudi kwenu.
Umemiss tender za kuteka kama usiyejulikana?Tushamkumbuka sana na Leo tumemuombea misa St Joseph imeombwa na muumini kwenye list yake kamtaja JPM na ndugu zake wengine nikasema hakika watu wamemmiss Rais wao
Mimi nilienda kununua hizi vifunhashio vyenye picha mbalimbali za Viongozi,wasanii nk.Tushamkumbuka sana na Leo tumemuombea misa St Joseph imeombwa na muumini kwenye list yake kamtaja JPM na ndugu zake wengine nikasema hakika watu wamemmiss Rais wao
Kwa upigaji huu hata ulipe kodi vipi huwezi kuona maendeleo!!kila leo unasikia pesa zinaliwa tu.Mbinu ni pesa lipa Kodi pesa ipatikane..
Sio kweli,ingekuwa hivyo hata hayo maji na umeme wa mgao usingeuona..Kwa upigaji huu hata ulipe kodi vipi huwezi kuona maendeleo!!kila leo unasikia pesa zinaliwa tu.
Inawezekana ndo ilikuwa mtekaji mwenyewe umejuaje?Umemiss tender za kuteka kama usiyejulikana?
Idadi ya watu walomuombea Leo ni kubwa kuzidi ya hapo wauza vifungashio....k...k.joe ulaleMimi nilienda kununua hizi vifunhashio vyenye picha mbalimbali za Viongozi,wasanii nk.
Sasa nikaulizia Bei kifungashia chenye picha ya Mwendazake,nikawa naondoka sasa muuzaji akanibembeleza Sana niingie ndani kuna na vingine kumbe aligundua kwamba nimekacha sababu ya picha ya Mwendazake..
Baadae akasema kiukweli hata mimi yule baba nilikuwa sikuelewi,nikanunua kifungashio chenye picha ya Rais Samia na hifadhi natoka watu wanacheka wakisema kumbe uliacha sababu ya huyo Mzee. 😁😁😁😁
Wakacheka Sana wakisema yule jamaa alikuwa hafai kabisa maana alitubana Sana kwenye biashara..
Hata sasa labda nyie wa Mjini ndio mnamuona wa maana ila Vijijini huku watu wanaenda na Samia maana amewapa mbolea za ruzuku na amewa guarantee soko la mazo Bei zimechangamka hadi Raha,ukilima unaona thamani ya jasho lako.
Endelea kujifariji,kwani unadhani Idd Amini hakuwa na watu wanaomuombea?Idadi ya watu walomuombea Leo ni kubwa kuzidi ya hapo wauza vifungashio....k...k.joe ulale
Wewe kama siyo lishoga ni limtu likichaa kichaa fulanimungu wa Chato alikuwa haambiliki, alikata miti takriban 4-6 Milion kupisha ujenzi wa bwawa la JNHPP. Tulipokosoa mliona tunampinga DIKTETA.
Sasa athari za UHAYAWANI wa Magufuli tunazipata upfront, nanyi misukule ya Mwendazake mnamlaumu Rais Samia. Pumbavu zenu kabisa
Pamoja na miti kukatwa iyo ni sababu moja lakini siyo sababu ya kukosekana maji leomungu wa Chato alikuwa haambiliki, alikata miti takriban 4-6 Milion kupisha ujenzi wa bwawa la JNHPP. Tulipokosoa mliona tunampinga DIKTETA.
Sasa athari za UHAYAWANI wa Magufuli tunazipata upfront, nanyi misukule ya Mwendazake mnamlaumu Rais Samia. Pumbavu zenu kabisa
Punguza dharau kusema watu hawajitambui wakati wewe ni sehemu mojawapo ya hao wasiojitambua.Hiyo ni sababu ya kitoto tu ni kichaka tu cha kujifichia,lakini ukweli ni kuwa viongozi hawana mbinu bora ya kumaliza tatizo hilo la maji??yaani nchi nzima imezungukwa na mito,maziwa,bado msingizie eti ukame?!!Haya nenda MWANZA,ziwa liko km 0 lakini kuna shida ya maji hilo linakuonyesha kuna sehemu kuna shida.Leo mnakuja eti na nishaji jadidifu,kwa kuwapa lawama wananchi kutumia kuni/mkaa wakati sababu iko wazi ni umaskini,kuna mtu anapenda kuvuta moshi?!!bei ya gesi iko juu,NLG,mmeiuza.Shukuruni tu asillimia 80 ya wananchi hawajitambui.
dharau zipi?Huo ndio ukweli kundi kubwa la watz hawajitambui,na ndio mtaji mkubwa wa ccm!!kwa Tz, hata ukienda huko Manyara ukamchukua MHAZABE mmoja anaiongoza Tz fresh tu.Punguza dharau kusema watu hawajitambui wakati wewe ni sehemu mojawapo ya hao wasiojitambua.
Aina nyingine ya ujinga ni hiiHivi Magufuli alimfanyia kipi mkeo ambacho sicho cha kawaida kwa mwanamke kufanyiwa hapa Duniani kama kutunzwa na kutunzwa na kuhudumiwa vizuri ?!
Moumbavu yule aliingia Butimba Prison kuja kuwatoa wale askari waliokamata dhahabu. Kumbe ilikuwa dhahabu yake na KagameMkuu huyo kwenye avatar ni wewe, umenikumbusha mbali " amekuinua"