Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

Hii ni aibu, mkuu wa nchi analalama juu ya ukosefu wa maji wakati taifa lina waterbodies za kutosha kusambaza maji nchi nzima

Kweli, sijawahi kusikia hakuna hela kwa ajili ya uchaguzi au sherehe, ila kukosekana kwa hela za kusambaza maji ni kawaida.
Jana mamilion yametumika kusherehekea majibu ya sensa.
Uchaguzi upo kikatiba, sherehe huchukua gharama kidogo..

Maji yanahitaji walau Til.1 annually kwa ajili ya Binadamu,mifugo na kilimo..

Bora Rais Samia amejitahidi kufanya investment walau ya bil.700 miaka 2 mfululizo..

Mwendazake ilikuwa bil.300
 
Tushamkumbuka sana na Leo tumemuombea misa St Joseph imeombwa na muumini kwenye list yake kamtaja JPM na ndugu zake wengine nikasema hakika watu wamemmiss Rais wao
 
Umechokoza we mamluki toka Burundi.
Mtanyooka tu mrudi kwenu.
Hakuna tatizo la Nchi hii Mwendazake anaweza kukosa kulaumiwa maana yeye ndio source ya kila kitu..

Aliua uchumi uliokuwa umeanza kuchipua mapato ya serikali badala ya kuongezeka mara dufu yalijikonhoja..

Akakacha miradi ya kipaombele akaanzisha ya kwake very expensive wakati Nchi haina pesa za kuweza kuikamilisha kwa wakati matokeo yake aka paralyse sekta zingine kama maji na umeme.
 
Tushamkumbuka sana na Leo tumemuombea misa St Joseph imeombwa na muumini kwenye list yake kamtaja JPM na ndugu zake wengine nikasema hakika watu wamemmiss Rais wao
Mimi nilienda kununua hizi vifunhashio vyenye picha mbalimbali za Viongozi,wasanii nk.

Sasa nikaulizia Bei kifungashia chenye picha ya Mwendazake,nikawa naondoka sasa muuzaji akanibembeleza Sana niingie ndani kuna na vingine kumbe aligundua kwamba nimekacha sababu ya picha ya Mwendazake..

Baadae akasema kiukweli hata mimi yule baba nilikuwa sikuelewi,nikanunua kifungashio chenye picha ya Rais Samia na hifadhi natoka watu wanacheka wakisema kumbe uliacha sababu ya huyo Mzee. 😁😁😁😁

Wakacheka Sana wakisema yule jamaa alikuwa hafai kabisa maana alitubana Sana kwenye biashara..

Hata sasa labda nyie wa Mjini ndio mnamuona wa maana ila Vijijini huku watu wanaenda na Samia maana amewapa mbolea za ruzuku na amewa guarantee soko la mazo Bei zimechangamka hadi Raha,ukilima unaona thamani ya jasho lako.
 
Maji tunayo Ila design flan wanataka kuyaombea mkopo kwa lugha ya ukame
 
Idadi ya watu walomuombea Leo ni kubwa kuzidi ya hapo wauza vifungashio....k...k.joe ulale
 
mungu wa Chato alikuwa haambiliki, alikata miti takriban 4-6 Milion kupisha ujenzi wa bwawa la JNHPP. Tulipokosoa mliona tunampinga DIKTETA.

Sasa athari za UHAYAWANI wa Magufuli tunazipata upfront, nanyi misukule ya Mwendazake mnamlaumu Rais Samia. Pumbavu zenu kabisa
Wewe kama siyo lishoga ni limtu likichaa kichaa fulani
 
mungu wa Chato alikuwa haambiliki, alikata miti takriban 4-6 Milion kupisha ujenzi wa bwawa la JNHPP. Tulipokosoa mliona tunampinga DIKTETA.

Sasa athari za UHAYAWANI wa Magufuli tunazipata upfront, nanyi misukule ya Mwendazake mnamlaumu Rais Samia. Pumbavu zenu kabisa
Pamoja na miti kukatwa iyo ni sababu moja lakini siyo sababu ya kukosekana maji leo
Ukitaka kujua hiyo
Baada ya wiki moja kutoka sasa maji yatakuwepo
Sasa kwa akili za kawaida sijui hiyo miti ndiyo itakuwa imeshaota au mvua zitakuwa zimenyesha
 
Dola imewaachia wanasiasa miradi ya maendeleo!

Hapo tulikosea Sana,wanasiasa wanapaswa kusimamiwa na dola kiutendaji na Sio wajisimamie wao wenyewe!!

Hatuna wenye maono Kati yao!

Wote wamepofushwa na fedha kiasi kwamba hawaoni kimbele kea Taifa letu!!

Malalamiko ya Maji, UMEME na afya ni dalili tosha kuwa wanasiasa wameshindwa kazi kabisa!
 
Hiyo ni sababu ya kitoto tu ni kichaka tu cha kujifichia,lakini ukweli ni kuwa viongozi hawana mbinu bora ya kumaliza tatizo hilo la maji??yaani nchi nzima imezungukwa na mito,maziwa,bado msingizie eti ukame?!!Haya nenda MWANZA,ziwa liko km 0 lakini kuna shida ya maji hilo linakuonyesha kuna sehemu kuna shida.Leo mnakuja eti na nishaji jadidifu,kwa kuwapa lawama wananchi kutumia kuni/mkaa wakati sababu iko wazi ni umaskini,kuna mtu anapenda kuvuta moshi?!!bei ya gesi iko juu,NLG,mmeiuza.Shukuruni tu asillimia 80 ya wananchi hawajitambui.
Punguza dharau kusema watu hawajitambui wakati wewe ni sehemu mojawapo ya hao wasiojitambua.
 
Punguza dharau kusema watu hawajitambui wakati wewe ni sehemu mojawapo ya hao wasiojitambua.
dharau zipi?Huo ndio ukweli kundi kubwa la watz hawajitambui,na ndio mtaji mkubwa wa ccm!!kwa Tz, hata ukienda huko Manyara ukamchukua MHAZABE mmoja anaiongoza Tz fresh tu.
 
Biashara ya mkaa, kuni na magogo ipunguzwe kasi
 
Back
Top Bottom