The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,582
- 14,167
Uchaguzi upo kikatiba, sherehe huchukua gharama kidogo..Kweli, sijawahi kusikia hakuna hela kwa ajili ya uchaguzi au sherehe, ila kukosekana kwa hela za kusambaza maji ni kawaida.
Jana mamilion yametumika kusherehekea majibu ya sensa.
Maji yanahitaji walau Til.1 annually kwa ajili ya Binadamu,mifugo na kilimo..
Bora Rais Samia amejitahidi kufanya investment walau ya bil.700 miaka 2 mfululizo..
Mwendazake ilikuwa bil.300