Hii ni aibu, tunatakiwa kubadilika. Msaada wa Waziri Wang Yi ni fedheha

Hapo kuxugia gear kubwa SGR from Mwanza to Isaka ....,utasikia wana sign mkopo nafuu ...ngoma bado mbichi
 
Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Kazi ya mataga ni moja tu:
KUPINGA PINGA hoja za maana🙄
 

Unafuu wa gharama ya usafiri hauna uhusiano wowote na kutokuwa na uhaba wa usafiri. Labda kama hujui hoja yangu ilikuwa nini. Kabla ya treni kuanza safari za kwenda Arusha bei ya cement ilikuwa chini ya 15,000. Sasa hivi treni inaenda huko bei ni zaidi shilingi 16,000. Ni kweli treni inaweza kupunguza bei ya usafiri, lakini bei sio kigezo pekee cha watu kuhamia kwenye treni.

Nje ya mada, kuna siku nilikuambia Mozambique inajenga LNG ya $20b ukahamaki. Sasa jiongeze kuujua ukweli huo.
 
Shabani kissu anasema kimejengwa na pesa za watanzania. Wang yi anasema kimejengwa na wachina. Mbona sielewi. Leo naona kila mchezaji anatoa maboko team captain RAMOS akiwa amekimbia mechi
 
KILICHOFANYIKA CHATO NI SAWA NA KUMUALIKA BAKHERESA KWENYE HARAMBEE YA KUCHANGIA UJENZI WA SHULE AU HOSPITAL AMBAYO MOJA KATIKA YA WADI ITAITWA JINA LAKE UNATARAJIA ATATOA SHILINGI NGAPI KUJUA UCHUMI SIYO LAZIMA UWE LIPUMBA SERIKALI ILIJUA AKIPEWA JINA LA UKUMBI WA HICHO CHUO LAZIMA ZIMTOKE ZA KUTOSHA NA LENGO LIMEFANIKIWA AIBU IKO WAPI TUMIA AKILI NA SIYO LAWAMA WAFANYA BIASHARA WA KATORO WAMECHANGIA MAMBO MENGI SANA HIVYO HAWAHITAJI KUSUMBULIWA MH. KIKWETE WAKATI ALIWAHI KUSEMA KUHUSU BUGANDO UKITAKA KULA LAZIMA UKUBALI KULIWA NA BUGANDO IKAITWA WEIR BUGANDO NA FEDHA IKATOKA SASA WEWE UNALALAMIKA NINI?
 
tindo hukusema Mozambique wanajenga LNG plant,bali ulisema wanajenga gas plant kama za Kinyerezi. Kitu ambacho haziwezi kugharimu Usd bil 20. Tuachane na hilo.

Kuhusu treni kataa usikatae ina umuhimu mkubwa sana kwa maisha ya watanzania. Na itapunguza gharama za maisha kwa 50%. Hivyo tulia na acha ushabiki wa kisiasa.
 
Dah!
 
Hata sasa chagu wa malunde tunayo treni japo ya kizamani lakini maisha haikuwahi kurekebika
 
Hata sasa chagu wa malunde tunayo treni japo ya kizamani lakini maisha haikuwahi kurekebika
Jaduong wewe ni shahidi, treni ilipokuwa inafanya safari za Mwanza full time miaka ya ya nyuma kabla ya Trc kufa sio sawa na leo hii. Maisha ya Mwanza yamebadilika sana. Najua unafahamu ukweli ila unaleta ushabiki.
 
Nimekupa mfano wa bei ya cement kabla na baada ya treni kwenda huko Arusha, sasa sijui ww unapata wapi uhakika wa bei kuwa nafuu kwa reli ya mkopo?
 
ebu msikilizage taarifa vizuri jmn hipesa ametoa yy km yy kusaidia uvuvi hapo chato.
 
We kweli Dumu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…