Hii ni aibu, tunatakiwa kubadilika. Msaada wa Waziri Wang Yi ni fedheha

Nilimsikia mh Kabudi akisisitiza kiwa hicho chuo tumejenga kwa pesa yetu wenyewe sasa sijui kwa ligha nyingine tilitakiwa tutimie na pesa ya nani maana naona ha huu ni ulemavu wa akili
 
Unaweza kukuta sio msaada bali imeelekezwa kama msaada!!!
 
Unaweza kuta sio msaada,bali hatujapata maana hasa ya hii fedha iliyotolewa!.Mtu kutoka nyumbani kwake na kuja kwako kuna maana na malengo yenye makusudio mbalimbali.
 
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.

Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.

Haizidi dola 200,000 ambayo ni sawa na gari la kifahari la mtu mwenye pesa wakati Tanzania ni nchi tajiri a.k.a dona kantri.
 

Kwakuwa imetolewa Chato in mhisani. Ingetolewa kwa chama cha upinzani ni beberu.
 
kwahiyo tulitakiwa kuukataa pale pale na kisha kuzima camera!!!.

hizi nyuvu mnapoteza badala ya kutafuta hela,ndio zinafanya mnaendelea milele kuwa watu wa kulalamika tu.
 
Hawa ni marafiki ndugu wa jadi wa CCM, inawezekana ni mchango wao wa tetemeko siyo msaada kama unavyodhani.
 
MTU anampeleka mgeni toka mbaaali kijijini kwake akajua yatamwagwa mabilioni chuo kiwa chuo kikuu cha ufundi.... Imekula!!!
Tuifikirie vyema katiba mpya maana marais wajao nao wataiga kuinua vijiji vyao kiupendeleo.
 
Huyo babu yenu 'Sultan' Mangungo ni wa wapi aisee?
 
Sasa unamwambia Nani!
 

Tokea lini China wanatoa misaada? Uliona wapi China wanatoa misaada, hata siku moja China haitoi misaada ni maskini wale, watu wana 1.4 bil population na wachina wengiii ni maskini fukara wa kutupa, alafu akuletee ww misaada, ukiona mchina anakuja kwako anajipendekeza pendekeza kuna kitu anakitaka au contract au madini au mafuta etc ananyemelea.. China tafuta kama kuna sehemu wamejenga kwa msaada kokote kule.. Sbb ni maskini, watu wake ni wengi na wengi maskini, so tuwe makini na Chinese..
 
Sidhani kama kuna mtu kakatazwa kuchangia, so long as kuna nafasi ya kufanya hivyo changia tu.
Shida ipo kwetu kwa nia njema kulichomekea hilo katika ziara ya fursa kwa China kujenga reli.
 
Nchi yangu inasikitisha,dona kantri inapokea pesa ya mboga,aibu kubwa sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…