Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Walioua vitu hivi ni kina nani kama si wale walioko high table ?!. Leo tunapewa msaada chini bei gari moja , tunakenua meno !!.Jaduong wewe ni shahidi, treni ilipokuwa inafanya safari za Mwanza full time miaka ya ya nyuma kabla ya Trc kufa sio sawa na leo hii. Maisha ya Mwanza yamebadilika sana. Najua unafahamu ukweli ila unaleta ushabiki.
Dah!..Hio pesa na kujengewa choo ipi ni msaada udhalilishao
Liwe jambo la kimkakati na si la kutafuta sifa majukwaani .usiwe mbishi treni inalinda barabara hata kama bei haishuki
Kama wakitaa mtasema pia, hatuishiwi maneno.Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Kila mtanzania anajua kuwa kuna makosa yalifanyika huko nyuma,hii isiwe sababu ya kulaumu wakati kuna mabadiliko tunayaona. Hivyo tusikariri kuwa hatutapata cha kijivunia wakati awamu hii ya tano imeleta mabadiliko ambayo kila mtu anayaona.Walioua vitu hivi ni kina nani kama si wale walioko high table ?!. Leo tunapewa msaada chini bei gari moja , tunakenua meno !!.
Akili ile ile iliyotufelisha, haiwezi kututoa mrisi . Kama huamini tuombe uhai awamu hii ifike mwisho , kama kutakuwa na cha kujivunia .
Juzi kati kuna Mkurugenzi Kanunua Gari la Kutembelea la Milioni 400. Alitakiwa anunue gari la Mil 300. Hii hela ndogo sana, tunashangilia kupewa gari moja la Mkurugenzi wa Wilaya ya Nangurunkuru! Kama Nchi ni aibu.Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Mkuu kuna sehemu hata mimi nilihoji ni tsh 300m au ni dola 300m?Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Ulimwona waziri wa elimu alivyokuwa anatamka huo msaada kwa mbwembwe? Mimi nilidhani kakosea kusema bilioni mia tatu akasema milioni mia tatuJamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Naa mbaya zaidi inakuwa publicized, hadi vyombo vya habari karibia vyote nchini vimeandika kuhusu msaada huo 🤔🤔🤔Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Kwani ukipewa zawadi wewe utakataa??? Vitu vingine tujaribu kutumia busara.Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike.
Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili.
Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni fedheha kwetu.
Hii pesa ilipaswa kuchangwa na wafanyabiashara wa dhahabu Katoro na kuikabidhi kwa Veta Chato, sio kutolewa kama msaada na waziri wa taifa kubwa kama China.
Tusipende kudhalilishwa kwa misaada midogo kama hii. Hata kama unatakiwa usichague cha kupewa,lakini inatakiwa tufikie hatua tuchague.
My take; Tuwe makini sana juu ya misaada kama hii, ikumbukwe huko nyuma babu yetu Sultan Mangungo alishawahi kubugi na ikawa fedheha kwa Watanzania.
Haka kajamaa kana matusi sana ni kafara kweli kwei kisa keupe,swine.
Ukweli mchunguuHaka kajamaa kana matusi sana ni kafara kweli kwei kisa keupe,swine.
Matokeo ya uchaguzi mkuu yamekufanya uwe kama bwege la kisiasaKipi cha kunifanya nipanick labda?
Matokeo ya uchaguzi mkuu yamekufanya uwe kama bwege la kisiasa
Hili la kukimbia na box la kura linifikirisha sana.Chadema ndio maana Mimi niliapa kuwa sikubali mshinde niko tayari hata kukimbia na box la kura msaada ni msaada huwezi mpangia tajiri akupe nini hivi nyie chadema mlishatoa hata mlo mmoja kulisha walemavu?
Kamanda huwezi kuona ulivyobadilika. Sisi ndio tunakuona, any way tuliza mzuka na ujikite kwenye mada.Niko hapa jukwaani mwaka wa kumi sasa, ni wapi labda nimebadilika michango yangu useme ni kwa ajili ya uchaguzi?