Hii ni kwa wanawake mnaotumia ujauzito kama fashion

Mkuu si kwa mama mjamzito bhana
Haijalishi, tena wajawazito ni watamu inakuwa lainiiiii halafu ya moto moto ukichanganya na ile kugusanisha maziwa yake kifuani aaaarrrrrgggghhhhhh boonge moja la starehee.

NB; hamu inaanzia kwenye kuona kwanza
 
Utauringishia ukiwa na bwana alikutia mimba unadhani ukiwa na uhakika wa u single mother huo ujasiri wa kuturingishia unaupata wapi[emoji23][emoji23]
 
Haijalishi, tena wajawazito ni watamu inakuwa lainiiiii halafu ya moto moto ukichanganya na ile kugusanisha maziwa yake kifuani aaaarrrrrgggghhhhhh boonge moja la starehee.

NB; hamu inaanzia kwenye kuona kwanza

Dah[emoji1430]
 
Ila kila mimba inakuja na altitude zake huwezi jua y wanafanya hivyo
Hizi attitude zimekuja miaka hii baada ya kuwepo kwa mitandao ya kijamii ?

Au baada ya kuwaona wakina Shakira au Beyonce wakionesha matumbo yao basi na dada zetu nao haooooo haraka haraka kwenda kuiga.
 
Si kama ulaji wa maembe mabichi na udongo sikuizi ni mwendo wa burger na chips zenye ukwaju mwingi
 
Suala la vyakula linaweza kuwa explainable japo nalo halina uhalisia sana maana watanzania wengi maisha yetu tunajuana. Mfano burger mtu wa Tandahimba au hata Msata/Mkata anaitoa wapi ila hili la kupiga picha za nusu uchi ni kufuata mikumbo tu.
 
Hata hili la picha huwezi likita tandahimba huko ni wa dar tu mkuu
 
Hapana hili la picha sio Dar tu kwa sasa hata mikoani lipo na hizi smartphone zimetamalaki kila pembe ya nchi labda huseme watumiaji wengi mpo Dsm. Mimi binafsi nipo Rufiji now na takwimu zinasema angalau million ya 20 ya watanzania wanatumia internet sasa Dsm peke yake haijafika watu milion 20. Na Tz ipo top ten kati ya nchi zenye watumiaji wengi wa internet barani Afrika.
 
Wamekuskia n hope watakuelewa pia mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…