feysher
JF-Expert Member
- Sep 6, 2016
- 2,656
- 2,771
Naam
Sasa wewe huoni kuongelea kiwanda kilichokutengeneza kama ni utoto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naam
Sasa wewe huoni kuongelea kiwanda kilichokutengeneza kama ni utoto
Tuonesheni vyote, wengine matamanio yetu yapo vifuani humo - chuchu ,titi na nini na nini
Naww uliepost ni nan?
Haijalishi, tena wajawazito ni watamu inakuwa lainiiiii halafu ya moto moto ukichanganya na ile kugusanisha maziwa yake kifuani aaaarrrrrgggghhhhhh boonge moja la starehee.Mkuu si kwa mama mjamzito bhana
Basi upo kwenye right track mkuuKwa mr tu mkuu pindi hayupo nyumbani ila kwenye social media hapana sijawahi
Hahahah unaumia hadi kwa mimba tubebazo?mara mseme tunazalishwa na kuachwa,mara tunaomba Sana hela,mara hatuoleki,leo unaumia tukiringishia mimba zetu
Kweli we run this shit meeeennnn
Binafsi nikiwa mjamzito naringishia hadi kuna watu wanatamani kunikill ila ndo hivyo uzazi ni barka na sisi ni miungu wa pili,so kijana tuheshimu sana,ukitutusi sisi sawa umemtusi Muumba wako.
Haijalishi, tena wajawazito ni watamu inakuwa lainiiiii halafu ya moto moto ukichanganya na ile kugusanisha maziwa yake kifuani aaaarrrrrgggghhhhhh boonge moja la starehee.
NB; hamu inaanzia kwenye kuona kwanza
Ndio hivo nduguDah[emoji1430]
Basi upo kwenye right track mkuu
Hizo stimu ziwe za wakwako si mamavijacho wa wenzio mkuuNdio hivo ndugu
Hizi attitude zimekuja miaka hii baada ya kuwepo kwa mitandao ya kijamii ?Ila kila mimba inakuja na altitude zake huwezi jua y wanafanya hivyo
Hizi attitude zimekuja miaka hii baada ya kuwepo kwa mitandao ya kijamii ?
Au baada ya kuwaona wakina Shakira au Beyonce wakionesha matumbo yao basi na dada zetu nao haooooo haraka haraka kwenda kuiga.
Ubaya wake nini sasa hapo?Vibaya hivyo mkuu
Ubaya wake nini sasa hapo?
AiseeeUsile mama vijacho wa wenzako kuwa na haya kidogo mkuu
Suala la vyakula linaweza kuwa explainable japo nalo halina uhalisia sana maana watanzania wengi maisha yetu tunajuana. Mfano burger mtu wa Tandahimba au hata Msata/Mkata anaitoa wapi ila hili la kupiga picha za nusu uchi ni kufuata mikumbo tu.Si kama ulaji wa maembe mabichi na udongo sikuizi ni mwendo wa burger na chips zenye ukwaju mwingi
Suala la vyakula linaweza kuwa explainable japo nalo halina uhalisia sana maana watanzania wengi maisha yetu tunajuana. Mfano burger mtu wa Tandahimba au hata Msata/Mkata anaitoa wapi ila hili la kupiga picha za nusu uchi ni kufuata mikumbo tu.
Hapana hili la picha sio Dar tu kwa sasa hata mikoani lipo na hizi smartphone zimetamalaki kila pembe ya nchi labda huseme watumiaji wengi mpo Dsm. Mimi binafsi nipo Rufiji now na takwimu zinasema angalau million ya 20 ya watanzania wanatumia internet sasa Dsm peke yake haijafika watu milion 20. Na Tz ipo top ten kati ya nchi zenye watumiaji wengi wa internet barani Afrika.Hata hili la picha huwezi likita tandahimba huko ni wa dar tu mkuu
Hapana hili la picha sio Dar tu kwa sasa hata mikoani lipo na hizi smartphone zimetamalaki kila pembe ya nchi labda huseme watumiaji wengi mpo Dsm. Mimi binafsi nipo Rufiji now na takwimu zinasema angalau million ya 20 ya watanzania wanatumia internet sasa Dsm peke yake haijafika watu milion 20. Na Tz ipo top ten kati ya nchi zenye watumiaji wengi wa internet barani Afrika.