Hii ni kweli kuhusu Majini?

😹😹😹 Huyo muongo bana ni tamaa za binadamu kutaka kujaribu kila kitu.
Ingawa kuna vitu tunafanya kwa msukumo wa nguvu nje ya sisi lakini majini kama yapo kweli hayawezi kukusukima kufanya kama mleta mada alivyo sema.
 
Ingawa kuna vitu tunafanya kwa msukumo wa nguvu nje ya sisi lakini majini kama yapo kweli hayawezi kukusukima kufanya kama mleta mada alivyo sema.
Wanayasingizia majini kaka, binadamu wana roho za tamaa tyuu.!!
 
Hamna wamechoshwa na wewe kuwashawishi uwaache aisee wamechoshwa.πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
😹😹😹 Hawajachosha mbona hawalalamiki wakibakwa, wamebakwa na majini??
 
Majini ya mchongo hayo bro, hamna jini linalopenda ndogo aisiee
Yapo ya kutengenezwa pia yapo machafu kaka.
Machafu mathalan majini mahaba yapo yanayopenda,na kuna mmoja anaitwa muuriyah huyo anaweza akakubadilikia mara akaja mwanamke mara akaja mwanaume.
Na akija mwanaume kwa binadamu mwanaume anamla ndogoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…