Lethergo
JF-Expert Member
- Aug 7, 2023
- 6,534
- 11,421
Hauwazi na unaanzisha Mada?Mitabia yao ya pepo wachafu, mbona wengine hatuwazi hivyo??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauwazi na unaanzisha Mada?Mitabia yao ya pepo wachafu, mbona wengine hatuwazi hivyo??
😹😹😹 Huyo muongo bana ni tamaa za binadamu kutaka kujaribu kila kitu.Kwamba majini ndio yanatusukuma kuomba😂
Wapi nimeanzisha mada?? Emu tulia basi naingia nakuta notification zako labella labella unanidai??Hauwazi na unaanzisha Mada?
Dislike na hii😹😹😹 Huyo muongo bana ni tamaa za binadamu kutaka kujaribu kila kitu.
We hautaki kuchokozwa madam!?Wapi nimeanzisha mada?? Emu tulia basi naingia nakuta notification zako labella labella unanidai??
😂😂😂 Nimechoka kuchokozwa na majiniWe hautaki kuchokozwa madam!?
Ingawa kuna vitu tunafanya kwa msukumo wa nguvu nje ya sisi lakini majini kama yapo kweli hayawezi kukusukima kufanya kama mleta mada alivyo sema.😹😹😹 Huyo muongo bana ni tamaa za binadamu kutaka kujaribu kila kitu.
Usikute we mwenyewe jini😂😂😂😂😂😂😂😂 Nimechoka kuchokozwa na majini
Daah!Usikute we mwenyewe jini😂😂😂😂😂
Wanayasingizia majini kaka, binadamu wana roho za tamaa tyuu.!!Ingawa kuna vitu tunafanya kwa msukumo wa nguvu nje ya sisi lakini majini kama yapo kweli hayawezi kukusukima kufanya kama mleta mada alivyo sema.
Inawezekana mkuu kwa namna yake.Ingawa kuna vitu tunafanya kwa msukumo wa nguvu nje ya sisi lakini majini kama yapo kweli hayawezi kukusukima kufanya kama mleta mada alivyo sema.
😹😹😹 itakuwa ndiomana binadamu wananichokoza ili wanisingizie baadaeUsikute we mwenyewe jini😂😂😂😂😂
Hamna wamechoshwa na wewe kuwashawishi uwaache aisee wamechoshwa.😆😆😆😆😹😹😹 itakuwa ndiomana binadamu wananichokoza ili wanisingizie baadae
Majini ya mchongo hayo bro, hamna jini linalopenda ndogo aisieeInawezekana mkuu kwa namna yake.
😂😂😂😂Mleta mada ana hoja asikilizwe.
😹😹😹 Hawajachosha mbona hawalalamiki wakibakwa, wamebakwa na majini??Hamna wamechoshwa na wewe kuwashawishi uwaache aisee wamechoshwa.😆😆😆😆
Sema tuna roho za tamaa! Wewe unajitoa😂Wanayasingizia majini kaka, binadamu wana roho za tamaa tyuu.!!
Yapo ya kutengenezwa pia yapo machafu kaka.Majini ya mchongo hayo bro, hamna jini linalopenda ndogo aisiee