Hii ni kweli kuhusu Majini?

Hii ni kweli kuhusu Majini?

Ingawa kuna vitu tunafanya kwa msukumo wa nguvu nje ya sisi lakini majini kama yapo kweli hayawezi kukusukima kufanya kama mleta mada alivyo sema.
Wanayasingizia majini kaka, binadamu wana roho za tamaa tyuu.!!
 
Majini ya mchongo hayo bro, hamna jini linalopenda ndogo aisiee
Yapo ya kutengenezwa pia yapo machafu kaka.
Machafu mathalan majini mahaba yapo yanayopenda,na kuna mmoja anaitwa muuriyah huyo anaweza akakubadilikia mara akaja mwanamke mara akaja mwanaume.
Na akija mwanaume kwa binadamu mwanaume anamla ndogo😂😂😂😂😂😂.
 
Back
Top Bottom