Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
Umeanza matusi mvaa kobazi nenda kafukue ndugu zako katika imani wamefukiwa na vifusi kule,Inaonesha una kifunza cha mkund........ kinakuwasha.
Sema tuje tukukune.
Kwa hiyo mambo mengine yasimame kisa Uturuki kuna majanga? hata hivyo wamesha tuma timu kubwa ya waokozi na madawa.Apeleke kikosi cha uokoaji na misaada ya kibinadamu Uturuki aache show za kijinga kipindi hiki cha majanga.
yaani jamaa alivyojibu kana kwamba ndio mkuu wa jeshi la IRAN!!wabongo bnana ya kwao ambayo ndio hatima ya maisha yao hawana habari nayo ila nje utawaua!!Nyie mnaobishana sio wa Israel wala wa Iran, Tanzania ina watu wa Pumbavu sana
Kwa hiyo huyo aliye sema Israel ataipiga Iran ndo mkuu wa majeshi wa Israel?Nyie mnaobishana sio wa Israel wala wa Iran, Tanzania ina watu wa Pumbavu sana
Sio rahisi kama unavyo fikiri.Tatizo la warabu hawana vifuaa.
Wana expose sana mambo Yao.
Hapo Israel atachofanya, analipia mahandaki yote yenye hizo Ndege na makombora.
Alafu Ndo anaaza kuwachapa
Unacheza na Israel?.Sio rahisi kama unavyo fikiri.
Haaaaaaa mkuu acha mambo ya story za kusadikika, hizo ni story ambazo tulikuwa tunasimuliana tukiwa darasa la tano.Unacheza na Israel?.
Ukifatiloa sanaz utakuta hata Muhandisi wahiyo Base, ni agent wa Israel kutokea Urusiz mwenye Urai wa Brazil ,aliyeishi China , baadaae akahamia Iraq .
Waisrael wasikie
AseIran imeonyesha pic
picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
Ni utaahira kubisha kitu ambacho hukijui. Haya leta facts zako kwamba huo uwanja haupoUongo
Watu hawalaliBankers zinapigwa vzr sana na Torpedoe Bangalore...
Unapasua mdomo wake .
Ujinga ni mzigo...Apeleke kikosi cha uokoaji na misaada ya kibinadamu Uturuki aache show za kijinga kipindi hiki cha majanga.
Hii inatusaidia nini hapa?Iran imeonyesha pic
picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .
Ni utahira vilevile kutukana kisa kutofautiana mawazo, basi nawe leta facts ni Kwa vipi uwanja wa ndege ukawa chini ya ardhi?Ni utaahira kubisha kitu ambacho hukijui. Haya leta facts zako kwamba huo uwanja haupo
Ni utahira vilevile kutukana kisa kutofautiana mawazo, basi nawe leta facts ni Kwa vipi uwanja wa ndege ukawa chini ya ardhi?
Mkuu huku sio kutofautiana mawazo bali una ubishi usio kuwa na maana.Ni utahira vilevile kutukana kisa kutofautiana mawazo, basi nawe leta facts ni Kwa vipi uwanja wa ndege ukawa chini ya ardhi?
Nadhani ni kwa ajili ya kukinga ndege zisishambuliwe na adui.Ni utaahira kubisha kitu ambacho hukijui. Haya leta facts zako kwamba huo uwanja haupo