Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

yaani jamaa alivyojibu kana kwamba ndio mkuu wa jeshi la IRAN!!wabongo bnana ya kwao ambayo ndio hatima ya maisha yao hawana habari nayo ila nje utawaua!!
Wamekuwa mashabiki maandazi na sasa wanakaribia kuwa mashabiki vitafunwa.Uwakute wanabishania simba na yanga, utachacha.Hujui huyu mkubwa huyu mdogo.wapumbavu sana.
 
Iran imeonyesha pic
FoXQOJUWcAAdlDi

FoXQOJTWcAUtP-3


FoXQOJUXsAIucnp


FoXQOJTWcAQmBJd

picha za Uwanja wa ndege wa chini ya ardhi .

Pamoja na mavikwazo ya kiuchumi, lakini hawa jamaa wako mbele sana. Right kama TZ ingewahi kupata vikwazo vya kiuchumi kama Iran, nahisi tungekua zaidi ya wale jamaa walioigiza god must be crazy..
 
Wameogopa ikitokea Israel au adui mwingine yeyote ameshambulia kambi zake, itakuwa ngumu kuziharibu ndege hizo.
 

The Israeli aid aircraft landed right next to the Iranian aircraft in Türkiye.
 
Hivi wanawezaje kutengeneza mahandaki makubwa chini ya ardhi vile jamani nasikia yana Mita 1,000 kwenda chini sasa bomu gani hilo la kupiga hadi kufikia hizo ndege
 
Sio rahisi kama unavyo fikiri.

Haaaaaaa mkuu acha mambo ya story za kusadikika, hizo ni story ambazo tulikuwa tunasimuliana tukiwa darasa la tano.

Ni kweli Israel ina uwezo lakini si kwa kiasi hicho unacho kiongelea ww na wala Iran si wazembe kiasi hicho.

Mm nadhani ungerudi kwenye jukwaa la mapenzi ili uwafundishe vijana jinsi ya kuteka mioyo ya mademu au urudi kwenye jukwaa la siasa kuanzisha nyuzi za kumtukuza jewe labda hilo ndo unalo liweza huku kwenye medan ya military waachie wanao jua.

Bankers zinapigwa vzr sana na Torpedoe Bangalore...
Unapasua mdomo wake .


Hivi nyie Wana mnaobishana kuhusu nchi na nchi huwa ni ma CIA, FBI, MOSSAD au mlichezaga muvi la van-dame?

#YNWA
 
Mkuu huku sio kutofautiana mawazo bali una ubishi usio kuwa na maana.
Hakuna uwanja wa ndege
Hivi wanawezaje kutengeneza mahandaki makubwa chini ya ardhi vile jamani nasikia yana Mita 1,000 kwenda chini sasa bomu gani hilo la kupiga hadi kufikia hizo ndege
Ndiyo wanasababisha matetemeko hawa kuchimbachimba
 
Hata bongo tunafanya vizuri hakika. Juhudi za serikali yetu sio za kubeza, Kama ulikuwa hujui makomandoo wetu huko Monduli wanagalagala kwenye matope na kupasua matofari kwa vichwa. Hakika pongezi zote ni kwa serikali ya awamu ya sita ya mama samia suruhu hasani. Hakika mama huyu amefanya mambo mengi sana
 
Back
Top Bottom