Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

Hata bongo tunafanya vizuri hakika. Juhudi za serikali yetu sio za kubeza, Kama ulikuwa hujui makomandoo wetu huko Monduli wanagalagala kwenye matope na kupasua matofari kwa vichwa. Hakika pongezi zote ni kwa serikali ya awamu ya sita ya mama samia suruhu hasani. Hakika mama huyu amefanya mambo mengi sana
Ugumu wa maisha unafanya vichaa waongezeke
 
sasa kua na underground base nalo n jambo jipya ama la kipekee?
jwtz wenyew wanazo deep underground base sembuse iran
 
Back
Top Bottom