Hii ni ngome ya underground Yenye uwanja wa ndege chini ya Ardhi ya Jeshi la iran.

yaani jamaa alivyojibu kana kwamba ndio mkuu wa jeshi la IRAN!!wabongo bnana ya kwao ambayo ndio hatima ya maisha yao hawana habari nayo ila nje utawaua!!
Wamekuwa mashabiki maandazi na sasa wanakaribia kuwa mashabiki vitafunwa.Uwakute wanabishania simba na yanga, utachacha.Hujui huyu mkubwa huyu mdogo.wapumbavu sana.
 
Wameogopa ikitokea Israel au adui mwingine yeyote ameshambulia kambi zake, itakuwa ngumu kuziharibu ndege hizo.
 
Your browser is not able to display this video.

The Israeli aid aircraft landed right next to the Iranian aircraft in Türkiye.
 
Hivi wanawezaje kutengeneza mahandaki makubwa chini ya ardhi vile jamani nasikia yana Mita 1,000 kwenda chini sasa bomu gani hilo la kupiga hadi kufikia hizo ndege
 
Sio rahisi kama unavyo fikiri.


Bankers zinapigwa vzr sana na Torpedoe Bangalore...
Unapasua mdomo wake .


Hivi nyie Wana mnaobishana kuhusu nchi na nchi huwa ni ma CIA, FBI, MOSSAD au mlichezaga muvi la van-dame?

#YNWA
 
Mkuu huku sio kutofautiana mawazo bali una ubishi usio kuwa na maana.
Hakuna uwanja wa ndege
Hivi wanawezaje kutengeneza mahandaki makubwa chini ya ardhi vile jamani nasikia yana Mita 1,000 kwenda chini sasa bomu gani hilo la kupiga hadi kufikia hizo ndege
Ndiyo wanasababisha matetemeko hawa kuchimbachimba
 
Hata bongo tunafanya vizuri hakika. Juhudi za serikali yetu sio za kubeza, Kama ulikuwa hujui makomandoo wetu huko Monduli wanagalagala kwenye matope na kupasua matofari kwa vichwa. Hakika pongezi zote ni kwa serikali ya awamu ya sita ya mama samia suruhu hasani. Hakika mama huyu amefanya mambo mengi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…