Hata bongo tunafanya vizuri hakika. Juhudi za serikali yetu sio za kubeza, Kama ulikuwa hujui makomandoo wetu huko Monduli wanagalagala kwenye matope na kupasua matofari kwa vichwa. Hakika pongezi zote ni kwa serikali ya awamu ya sita ya mama samia suruhu hasani. Hakika mama huyu amefanya mambo mengi sana