Hii ni njia nyingine nzuri ya uokoaji kariakoo, kwa wale wahanga wanaopiga simu.

Shida si kujua alipo, wanajulikana sana tatzo ni jinsi ya kumfikia alipo
 
Jamani msimzodoe hivyo, anajaribu njia ya kusaidia. Kila mtu kaumia kwa njia yake. Mimi mwenyewe hapa nilikuwa naumiza kichwa, jinsi ya kuwafikia huko. Maana wamebanwa na wengi wako upande, ghorofa lilipodondokea. Nahisi wengi waliokuwa ghorofa ya kwanza. Wa ya pili waliokolewa, changamoto ipo ila inabidi itatuliwe, ni maisha ya wenzetu yako hatarini. Amejaribu kuwaza.
 
Mimi sio mwana ccm nchi yetu ili usikilizwe au uwe na akili lazima uwe mwana ccm kwanza kwa hyo mpaka hapo nishafeli.

Basi kama ni hivyo haina haja kusema sema mkuu unakaa kimya tu acha wanaccm waseme.
 
Kweli kukaa mkoani ni ujinga...yaani eneo halizidi Sqm 2000 utumie Google map?
 
For the record, Jengo linamirikiwa na Darasa la saba B, alikusanya darasa lanne wenzake watafute namna ya kuongeza vyumba kwenye basement.

Mnaleta tatizo kwa kuzarau taaluma za watu, yakiwafika shingoni mnaanza kulia lia hapa
 
For the record, Jengo linamirikiwa na Darasa la saba B, alikusanya darasa lanne wenzake watafute namna ya kuongeza vyumba kwenye basement.

Mnaleta tatizo kwa kuzarau taaluma za watu, yakiwafika shingoni mnaanza kulia lia hapa
Hata wale walioplan na kujenga jengo la Mwendokasi jangwani ni darasa la saba D au sio ndugu msomi😀
 
We MMANG'ATI, ndio umenunua SMATIFONI?

Ndugu Yako awe ndani ya nyumba yenu, aangukiwe halafu uanze kutumia location kujua alipo?
 
hatuend mbele sababu mnapenda kupinga ili muonekane mpo , sio wote wanajuwa walipo , yupo mmoja kapost jana anasema hajui halipo kote ni giza , mbinu moja haiez tatua kila kitu , hii pia inaeza saidia kwa wale wasiojuwa wapo upande gan labda kwasababu ya maweng
 
Hata wewe pia huna elimu ya long na latitude tuliza mshono hatupingi kufurahisha genge tunapinga kitu tunachokijua.
 
Wangekua serious Si wangetumia "radar sensor" kufanya hicho unachotaka. Na JWTZ nadhani radar hizo wanazo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…